Ulanzi ndio Kinywaji bora kabisa (Mtogwa, Mkangafu, Mdindifu)!

Ulanzi ndio Kinywaji bora kabisa (Mtogwa, Mkangafu, Mdindifu)!

Kuna ule mtogwa ukinywa huwa unakimbilia chini kuamsha viungo vya uzazi.
Nimekumbuka Madope, mlangali, ulayasi, milo. mkiu, lugarawa nimekunywa sana.
Ule mtogwa ukute upo kwenye chungu ule ubaridi plus utamu kama juice unaweza jikuta umepiga Lita tano.

Shughuli kwenye kutembea miguu inakuwa kama imefungwa mawe
 
Kwakwel siwez kukosekana msimu wa ulaz iringa never n kama huwa naenda kuhiji....ilula,ilole, lundamwatwe,igumbilo,ndiuka,vibanda vya ccm, had tanangozi hukoo n kupiga vitu alafu n kama dawa msimu huu huwaa siugui ugonjwa wowote maaana ulaz unaflashi tumbo pia mjue .....
 

Attachments

  • JamiiForums-1394406107.jpg
    JamiiForums-1394406107.jpg
    60.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom