johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa....... Wasukuma wanatumia wanzuki bwashee!sikuizi kuwa Mnyalu ni kama kuwa msukuma
Ule mtogwa ukute upo kwenye chungu ule ubaridi plus utamu kama juice unaweza jikuta umepiga Lita tano.Kuna ule mtogwa ukinywa huwa unakimbilia chini kuamsha viungo vya uzazi.
Nimekumbuka Madope, mlangali, ulayasi, milo. mkiu, lugarawa nimekunywa sana.