Ulawiti ni chanzo kikuu cha ushoga

Ulawiti ni chanzo kikuu cha ushoga

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.

Tatizo la ushoga halitokani na masuala ya kibayolojia yaani kama wanaotaka kuhalalisha ushoga wasemavyo kuwa ushoga ni ishu ya hormones imbalance. Ni uongo wa mchana.

Ushoga ni vitendo vinavyotokana na Ishu ya kisaikolojia yaani Tabia na akili ya mtu.

Mienendo ya tabia na akili huwa chini ya maadili.

Hakuna mtoto anayezaliwa shoga. Lakini wapo watoto ambao wamezaliwa katika mazingira ya ushoga ambayo huweza kumfanya mtoto aige tabia za kishoga.

Ulawiti ni kichocheo namba moja cha Watu kuwa mashoga.
Watoto wakiwa wadogo wanahitaji kulindwa na kufundishwa jinsi ya kuwa na tabia njema.

Katika chunguzi zangu, nilibaini mambo yafuatayo;

1. Mashoga wengi walilawitiwa na ndugu zao kabla hata hawajabalehe.
Walikuwa wakiingiliwa na Baba au mjomba, au kaka au ndugu.
Lakini wapo waliokuwa wakiiñgiliwa na rafiki zao kipindi wakicheza michezo ya hapa na pale ya watoto.

Katika hoja hii niligundua kuwa mashoga wengi walipokuwa watoto walikuwa wadogo kiumri au kimaumbile(ufupi au mwili mdogo) hivyo wale watoto wakubwa walikuwa wanawaingilia. Kwa woga walikuwa hawana option zaidi ya kukubali.

Taikon nashauri, >a)Ni vizuri kama unamtoto wa kiume umchunge sana. Uwe na tahadhari na wale marafiki anaocheza nao.
b) Ni vizuri kwenye michezo ya watoto pawe na watoto wa kike na wakiume yaani mchanganyiko tena uliosawa.
Nazungumzia watoto ambao hawajabalehe.

c) Ni vizuri watoto wadogo kulala na mtu ambaye unamwamini sana au ikiwezekana walale wenyewe

d) Mtoto ambaye hajabalehe asisome shule za boarding (bweni)

2. Mashoga wengi Wamelèlewa na single parent Family hasa kulelewa na Mama.
Wamama ambao wanatabia za ulevi na kufanya ukahaba kwa kugeuza nyumba zao madanguro wamechangia kwa kiasi watoto wao kuwa mashoga.
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa baadhi ya mashogà walilawitiwa na mahawara walioletwa na mama zao ndani ya nyumba.

Mama anaingiza mwanaume akiwa amelewa, anachumba kimoja na mtoto ambaye kwa usiku huo anadhani amelala. Kumbe hajalala. Mtoto anajifunza tabia chafu na kutaka kuijaribu kwa watoto wenzake.

Kama hiyo haitoshi, mbaya zaidi mwanaume mlevi aliyeletwa na mamaake anaamua kufanya ulawiti kwa mtoto. Ukisikia pepo chafu ndio hilo.
Baadaye mtoto anazoea kwani hafanywi bure.

Taikon nashauri,
a) Wamama mjiheshimu. Tabia za kipuuzi msifanye mbele au karibu mtoto hata kama amekufa au mbele ya picha yake.

b) Ni marufuku nyumba yako kuingia wanaume hata kama hauna uhusiano nao kimapenzi. Masuala ya kuambia watoto msalimie mjomba ilhali sio ndugu ikome.

3. Mashoga wengi wametokana na tabia za Mama zao(single Mothers) kuchuna wanaume na wakawafundisha watoto tabia za kidangaji(kupenda vya bure).
Mwanamke aliyeolewa na anaishi na mume hawezi kukubali mtoto wake apewe zawadi na wanaume wengine kwani akifika nyumbani lazima mumewe aulize chanzo cha zawadi ya mtoto.

Tabia ya wanawake kuomba vitu vidogovidogo kwa wanaume wasio waume zao wala ndugu kisingizio cha mtoto. Yaani unakuta Mwanamke kabeba mtoto wake alafu anakutana na Mwanaume wa hapohapo mtaani anamwambia mnunulie mwanangu soda au biskuti au chochote.
Au utasikia, ẞelle mwambie mjomba akununulie soda.
Wakati hakuna ukaribu wowote zaidi ya kuishi mtaa mmoja. Hiyo ni tabia mbaya.
.
Mtoto akishaona hivyo hujenga Trust kwa huyo mjomba na kama mjomba mwenyewe ni mlawiti ndio unashangaa mtoto ameharibiwa.
Wapo wanaopenda ulawiti na wapo ambao wanafanya kwa sababu ya ishu za kishirikina.

Ndio maana Taikon ataendelea kuonekana mbaya kwa kusisitiza kuwa wanawake wafanye kazi waache kupenda dezo kwa sababu dezo hizo huathiri watoto wanaowalea.

4. Watoto wanaoishi mazingira maskini na wanaolelewa na Bibi na Babu Maskini.
Watoto hawa hawanaga ulinzi. Mashoga wengi wamezalishwa kwenye kundi hilí.
Watoto kwenda kujitafutia riziki za hapa na pale imekua chanzo kikubwa cha ulawiti ambao ukikubuhu unawaathiri na kuwapa addiction ya kutaka kuingiliwa.

Ni vizuri wazazi kuzaa watoto kwa uwezo wetu wa maisha. Usizae watoto wengi ukijijua wewe ni maskini na Wazazi wako ni Maskini. Unawapeleka watoto wa bibi na babu wakati wenyewe maisha yao magumu.

Kama wazee wako wako vizuri kiuchumi na kimaadili wapeleke watoto wako wakalelewe na Babu na bibi yao. Wewe ukijipanga

6. Wamama wengi kutaka kumlea mtoto kimayaimayai.
Watoto legelege, watoto mayaimayai huishia Kufirwa na kulawitiwa na wenzao pindi ukiwa haupo aidha wapo shule au wewe upo kazini wao wapo nyumbani wanacheza na marafiki wenzake.

Mtoto legelege au mayai hawezi kujitetea. Akikoromewa kidogo na wenzake analialia kijinga jinga.

Mtoto wa kiume lazima wala sio hiyari kumlea kikakamavu, kigangwe. Ukorofi kwa mtoto wa kiume ni sifa inayotakiwa. Kazi yako ni ku- shape isilete madhara na sio kuiua.

7. Kumlea mtoto kizungu Zungu, nayo hupelekea mtoto kulawitiwa na mwishowe kuwa shoga.

Mtoto wa kiume unamuita mzuri. Wakike ataitwaje?
Sijui Handsome boy. Hizo ni romantic language mbuzi wewe.
Mtoto wa kiume haitwi kwa romantic names, Bali anaitwa kwa majina ya kumfanya awe mkakamavu na jasiri mfano, Jembe langu hilo, dume langu la mbegu hilo, mwamba, kipanga au kichwa, n.k.

Mwenye nafasi ya kumuita mtoto wa kiume Romantic name ni mpenzi, mchumba au mkewe hapo ameshakuwa mtu mzima kabisa.

Sasa mtoto mdogo akishaanza kuitwa kwa majina matamu matamu (romantic names) Akili yake na mtazamo wake unaanza kúumbika kikikekike(ushoga)
Anawaza kujiremba ili azidi kuwa mzuri,
Mwishowe anabokolewa.

Kile mtu anachosifiwa nacho mara kwa mara kikawaida ndio humuumba mtu huyo kuwa kitu hicho.

Walioingia kwenye ushoga kwa sababu ya tamaa ni wachache sana tofauti na wale waliotoka nao tangu Wakiwa watoto.

Ni nadra sana kijana kujiingiza kwenye ushoga kwa baada ya umri wa miaka 20.
Wengi huingia au kuingizwa kwenye ushoga wakiwa kabla ya balehe na kipindi cha balehe.

Sheria za ulawiti zizidi kuongezewa makali. Pamoja na sheria ya waganga wa kienyeji wanaofanya uganga wa kuagua na uchawi maana hao ndio huwapa maelekezo Watu wafanye ULAWITI.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hizo ni 1wapo za 7bu za ushoga, ila Ushoga ni zaidi ya hivyoo.
 
IMG-20240618-WA0346.jpg
 
Duuh hili shimo la kutolea taka limekuwa tatizo sna
 
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.

Tatizo la ushoga halitokani na masuala ya kibayolojia yaani kama wanaotaka kuhalalisha ushoga wasemavyo kuwa ushoga ni ishu ya hormones imbalance. Ni uongo wa mchana.

Ushoga ni vitendo vinavyotokana na Ishu ya kisaikolojia yaani Tabia na akili ya mtu.

Mienendo ya tabia na akili huwa chini ya maadili.

Hakuna mtoto anayezaliwa shoga. Lakini wapo watoto ambao wamezaliwa katika mazingira ya ushoga ambayo huweza kumfanya mtoto aige tabia za kishoga.

Ulawiti ni kichocheo namba moja cha Watu kuwa mashoga.
Watoto wakiwa wadogo wanahitaji kulindwa na kufundishwa jinsi ya kuwa na tabia njema.

Katika chunguzi zangu, nilibaini mambo yafuatayo;

1. Mashoga wengi walilawitiwa na ndugu zao kabla hata hawajabalehe.
Walikuwa wakiingiliwa na Baba au mjomba, au kaka au ndugu.
Lakini wapo waliokuwa wakiiñgiliwa na rafiki zao kipindi wakicheza michezo ya hapa na pale ya watoto.

Katika hoja hii niligundua kuwa mashoga wengi walipokuwa watoto walikuwa wadogo kiumri au kimaumbile(ufupi au mwili mdogo) hivyo wale watoto wakubwa walikuwa wanawaingilia. Kwa woga walikuwa hawana option zaidi ya kukubali.

Taikon nashauri, >a)Ni vizuri kama unamtoto wa kiume umchunge sana. Uwe na tahadhari na wale marafiki anaocheza nao.

Nazungumzia watoto ambao hawajabalehe.

2. Mashoga wengi Wamelèlewa na single parent Family hasa kulelewa na Mama.
Wamama ambao wanatabia za ulevi na kufanya ukahaba kwa kugeuza nyumba zao madanguro wamechangia kwa kiasi watoto wao kuwa mashoga.
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa baadhi ya mashogà walilawitiwa na mahawara walioletwa na mama zao ndani ya nyumba.

Mama anaingiza mwanaume akiwa amelewa, anachumba kimoja na mtoto ambaye kwa usiku huo anadhani amelala. Kumbe hajalala. Mtoto anajifunza tabia chafu na kutaka kuijaribu kwa watoto wenzake.

Kama hiyo haitoshi, mbaya zaidi mwanaume mlevi aliyeletwa na mamaake anaamua kufanya ulawiti kwa mtoto. Ukisikia pepo chafu ndio hilo.
Baadaye mtoto anazoea kwani hafanywi bure.

Taikon nashauri,

3. Mashoga wengi wametokana na tabia za Mama zao(single Mothers) kuchuna wanaume na wakawafundisha watoto tabia za kidangaji(kupenda vya bure).
Mwanamke aliyeolewa na anaishi na mume hawezi kukubali mtoto wake apewe zawadi na wanaume wengine kwani akifika nyumbani lazima mumewe aulize chanzo cha zawadi ya mtoto.

Tabia ya wanawake kuomba vitu vidogovidogo kwa wanaume wasio waume zao wala ndugu kisingizio cha mtoto. Yaani unakuta Mwanamke kabeba mtoto wake alafu anakutana na Mwanaume wa hapohapo mtaani anamwambia mnunulie mwanangu soda au biskuti au chochote.
Au utasikia, ẞelle mwambie mjomba akununulie soda.
Wakati hakuna ukaribu wowote zaidi ya kuishi mtaa mmoja. Hiyo ni tabia mbaya.
.
Mtoto akishaona hivyo hujenga Trust kwa huyo mjomba na kama mjomba mwenyewe ni mlawiti ndio unashangaa mtoto ameharibiwa.
Wapo wanaopenda ulawiti na wapo ambao wanafanya kwa sababu ya ishu za kishirikina.

Ndio maana Taikon ataendelea kuonekana mbaya kwa kusisitiza kuwa wanawake wafanye kazi waache kupenda dezo kwa sababu dezo hizo huathiri watoto wanaowalea.

4. Watoto wanaoishi mazingira maskini na wanaolelewa na Bibi na Babu Maskini.
Watoto hawa hawanaga ulinzi. Mashoga wengi wamezalishwa kwenye kundi hilí.
Watoto kwenda kujitafutia riziki za hapa na pale imekua chanzo kikubwa cha ulawiti ambao ukikubuhu unawaathiri na kuwapa addiction ya kutaka kuingiliwa.

Ni vizuri wazazi kuzaa watoto kwa uwezo wetu wa maisha. Usizae watoto wengi ukijijua wewe ni maskini na Wazazi wako ni Maskini. Unawapeleka watoto wa bibi na babu wakati wenyewe maisha yao magumu.

Kama wazee wako wako vizuri kiuchumi na kimaadili wapeleke watoto wako wakalelewe na Babu na bibi yao. Wewe ukijipanga

6. Wamama wengi kutaka kumlea mtoto kimayaimayai.
Watoto legelege, watoto mayaimayai huishia Kufirwa na kulawitiwa na wenzao pindi ukiwa haupo aidha wapo shule au wewe upo kazini wao wapo nyumbani wanacheza na marafiki wenzake.

Mtoto legelege au mayai hawezi kujitetea. Akikoromewa kidogo na wenzake analialia kijinga jinga.

Mtoto wa kiume lazima wala sio hiyari kumlea kikakamavu, kigangwe. Ukorofi kwa mtoto wa kiume ni sifa inayotakiwa. Kazi yako ni ku- shape isilete madhara na sio kuiua.

7. Kumlea mtoto kizungu Zungu, nayo hupelekea mtoto kulawitiwa na mwishowe kuwa shoga.

Mtoto wa kiume unamuita mzuri. Wakike ataitwaje?
Sijui Handsome boy. Hizo ni romantic language mbuzi wewe.
Mtoto wa kiume haitwi kwa romantic names, Bali anaitwa kwa majina ya kumfanya awe mkakamavu na jasiri mfano, Jembe langu hilo, dume langu la mbegu hilo, mwamba, kipanga au kichwa, n.k.

Mwenye nafasi ya kumuita mtoto wa kiume Romantic name ni mpenzi, mchumba au mkewe hapo ameshakuwa mtu mzima kabisa.

Sasa mtoto mdogo akishaanza kuitwa kwa majina matamu matamu (romantic names) Akili yake na mtazamo wake unaanza kúumbika kikikekike(ushoga)
Anawaza kujiremba ili azidi kuwa mzuri,
Mwishowe anabokolewa.

Kile mtu anachosifiwa nacho mara kwa mara kikawaida ndio humuumba mtu huyo kuwa kitu hicho.

Walioingia kwenye ushoga kwa sababu ya tamaa ni wachache sana tofauti na wale waliotoka nao tangu Wakiwa watoto.

Ni nadra sana kijana kujiingiza kwenye ushoga kwa baada ya umri wa miaka 20.
Wengi huingia au kuingizwa kwenye ushoga wakiwa kabla ya balehe na kipindi cha balehe.

Sheria za ulawiti zizidi kuongezewa makali. Pamoja na sheria ya waganga wa kienyeji wanaofanya uganga wa kuagua na uchawi maana hao ndio huwapa maelekezo Watu wafanye ULAWITI.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kiongozi wa kanisa ktoliki ameruhusu ushoga na kutoa amri zifungishwe ndoa makanisani za jinsia moja, na kwa wakristo kumuhamrisha pia mtoto wa kike ajistili ni kosa kubwa, ni sawa na kuiga mila za wavaa kobazi ambao dini yao inahamrisha mtoto wa kike na wakiume wavae mavazi ya stara,

Leo tunawatukana waislam wanapopinga watu kutembea nusu uchi, leo sisi wakristo mwanamke akivaa dela au baibui tunamzodoa na kumuita gaidi,na mwanaume akivaa kanzu na mavazi ya stara tunamuita anaiga mila za waarabu, ila akitembea nusu uchi hapo ni sawa anampendeza bwana
 
Sidhani kama Kanisa Katoliki limeruhusu.
 
Huko msikitini mbona wanaume wanavaa hijab na wanaswali upande wa wanawake? Hili hulioni?
 
Ushawahi kusikia Shoga akijiita Anti Rose au Anti Stella.. Ila Mimi nishawaona kina Anti Amina, Anti Zainab, Anti Zubeda na wengi wenye majina ya kiislamu.. Tafakari..

Back
Top Bottom