Ulaya imejengwa na ukabila

Ulaya imejengwa na ukabila

Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
47
Ulaya imejengwa na ukabila.

watu wa kabila moja waliamua kutengeneza Nchi yao. kwakua wanasikilizana, wana Miiko sawa ndiyo maana Nchi zao zilikuwa kwa haraka Kiuchuni. Unlike Africa, Makabila zaidi ya Mia Moja yamefungwa Nira Moja. Hii inafanya watu wasiwe na Uchungu na Rasimali za Nchi.

kwa Asili Binadamu ni Kiumbe Mbinafsi, ujiangalia mwenyewe na watu wa Nyumbani mwake kwanza.
Ni irrefutable kwamba Watu wa Kabila Moja kwa namna flan uchukuliana kama Ndugu.

Ujerumani, imejengwa na watu wa Kabila Moja.

Sweden imejengwa na Watu wa Kabila Moja.

Spain imejengwa na Watu wa kabila moja.

Hali hii ilikuwa inakwenda hivyo hivyo Ndani ya Africa kabla ya Wageni kuja na kutufunga Nira Moja.

Waumini wa ukabila wakataka Africa isiwe na Ukabila. Sawa, ni jambo Jema ila itoshe kusema Cosmopolitanism ni jambo Jema lisilo na Faida.
 
Back
Top Bottom