Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Natumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv. Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]