Aliyekuambia Tanzania wanaandamana nani? Tuna kitu kinaitwa tozo imeingia hadi bank, hakuna mawazo.m badala wa kutafuta pesa zaidi ya kimnyang'anya mnyonge visenti vyake tunaishia kusikitika na kulaani kichinichini laana ambazo hazifiki popoteNatumai nyote ni wazima wa afya
Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv
Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Soma tena hiyo story ya mega jackpots ina taratibu zakeNatumai nyote ni wazima wa afya
Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv
Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Lipia kodi kwanza ya leseni, tin ya biashara, frem ya biashara yako nk nk hata huku kodi zipo lipa kodi kwa maendeleo ya taifa na matumbo ya viongoziNatumai nyote ni wazima wa afya
Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv
Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
KODI HIZI SIO POANatumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv. Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Kodi ulaya ni kubwa kweli , ila kuna cycle nzuri ya matumizi ya kodi raia wanalipa , huku kwetu kodi ndo zinawaweka akina mdee bungeni kwa njia ya ajabu ajabuNatumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv. Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Uzi ufutwe sasa maana umepoteza maana yote aliyokuwa kalenga mtoa mdaUlisoma habari yote kuhusu hiyo lottery?
Huyo aliamua kuchukua lampsum, ambayo ukichukua lampsum unapewa 787mil usd kabla ya kodi
Ukichukua gratuit ya miaka 30 ndo unapewa hizo 1.2bil usd
Kila siku mazungumzo ni kuhusu wenzetu wameendelea, wana hela n. k. ni kodi tu ndiyo zinawaletea hayo maendeleo na hawaibi!!!Natumai nyote ni wazima wa afya. Wakuu hawa watu wanaoitwa wazungu ni wana kodi hadi kero aisee yan hizi tunazolalamikia sisi ni cha mtoto.
Kuna mtu huko marekani kashinda bahati nasibu ya $1.28B lakin kapata $400+ M baada ya kodi, Yaani $800M zote zinaliwa na serikali kama 60% hiv. Vipi ingekuwa na bongo kuna kodi kubwa hivi tungefanyaje?
Btw naomba ushauri wakuu nataka kuanzisha duka la vifaa vya umeme nina mtaji wa 4M ila sina uzoefu [emoji24]
Siri ya raia kulipa kodi kwa kujitolea ni matumizi ya kodi hizo.Kila siku mazungumzo ni kuhusu wenzetu wameendelea, wana hela n. k. ni kodi tu ndiyo zinawaletea hayo maendeleo na hawaibi!!!
na hii ina toa uhalali wa watu kukwepa kodi kwa njia zozote zile.KINACHOLALAMIKIWA HUKU TANZANIA SIO MLUNDIKANO WA KODI NYINGI BALI NI MATUMIZI YA KODI.........KODI KUBWA WANAZOLIPA HUKO ZINAENDANA NA UBORA WA HUDUMA ZAO ZA KIJAMII......SIO HUKU KWETU TUNALIPA KODI KWA AJILI YA POSHO NA MISHAHARA YA VIONGOZI WA SERIKALI NA SIO MIRADI YA MAENDELEO