Mataifa ya Ulaya mashariki yakiongozwa na Urusi kwa nini hayakujishughulisha kutafuta na kupata makoloni Duniani kama mataifa ya Ulaya magharibi yakiongozwa na Uingereza? Pia Marekani 1884-1885 kwa haikuwepo kwenye mgawo wa kupata makoloni wakati sasa ni taifa lenye nguvu Duniani?