Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa.
Yaani we mkulima mbaazi toka Ngulelo una waambia Watu wa Dunia ya Kwanza waamke 🤣🤣🤣 jitafakari sana broo hapo ukute wewe na familia yako hakuna hata mmoja mwenye bima ya afya...afu unateseka na Ulaya & US..