Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Benki na taasisi za fedha barani Ulaya na Marekani zimeanza kuguswa na mtikisiko wa uchumi ambao unazikumba benki kadha mfano Uingereza na Uswisi nchini Uingereza benki zimeamua kuongeza kiwango cha riba kunusuru soko lao, nchini Ufaransa maanadamno ya kupinga ongezeko la ugumu wa maisha limetokea.
Vile vile nchini Marekani benki ya Silicon Valley nayo imekumbwa na uhaba wa fedha, Mwenyekiti wa umoja wa benki nchini Marekani Bwana Jerome Powell amezunguumzia mdororo huo wakati akiongea jana na umoja wa shirikisho la masoko huru nchini Marekani jana tarehe 22.3.2023.
Aidha, amesema ana imani mambo yatakua imara na anaamini mambo ni imara katika mifumo ya benki .
Al jazeera tv