Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂, huku ni kuchezeana akili sasaKipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
SA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.Mama wahisha 'Chanjo'
Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂,huku ni kuchezeana akili sasa
SA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.
Kazi iendelee
Yaani naangalia Mpira hapa, hawana barakoa bilashaka wana 'Chanjo'Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huku ni kuchezeana akili sasa
H ha ha, tutakufa aiseeeNa wanasema na wimbi la nne liko njiani
Asante mkuu, nawaona wanashangilia mpaka wanarusha mate.Hao unaowaona wamepiga chanjo tayari mkuu,
Wanaenda lockdown tena Rwanda soonSA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.
Kazi iendelee
Wabakie nayo huko huko wasituletee sisi huku.Asante mkuu, nawaona wanashangilia mpaka wanarusha mate.
Mkuu, lockdown tena?!Wanaenda lockdown tena Rwanda soon
Wenzako asilimia kubwa wana chanjo tayari!! Japo na wao ni kama vile imefikia kipindi wamechoka nalo!!Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Yes hali mbayaMkuu, lockdown tena?!
Nami itabidi niipate, siamini namna waitaly ilivyowasumbua. Ety Leo wana furaha.Wenzako asilimia kubwa wana chanjo tayari!!japo na wao ni kama vile imefikia kipindi wamechoka nalo!!
Asilimia ngapi wana chanjo?SA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.
Kazi iendelee
Kwetu, loku douni Lini?! Mimi naogopa sana.Yes hali mbaya
HahahahaKwetu, loku douni Lin ?! Mm naogopa sana.
Yaani wenzetu wanaAman na furaha sana.
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'