Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #21
N wewe tu mkuu, maana una kichwa kigumu kama aliyemzungumzia Jana Dk!"ULAYA NIKAMA HAMANA UVIKO19, FAINALI ZA EURO 2020-WEMBREY IMETAPIKA"
Au ni Mimi tu ambae sijaelewa
Mkuu Da Gladiator nisaidie
Ikiongezeka, itamake sense.Kufuatia mashindano ya Tennis pale Wimbledon na EUROCUP idadi ya maambukizi imeanza kuongezeka tena.
🤣🤣🤣kumbe kichwa ndo hua kinaelewaN wewe tu mkuu, maana unakichwa kigumu kama aliyemzungumzia Jana Dk!
Ndio, mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe kichwa ndo hua kinaelewa
Asilimia ngapi wanachanjo?
Waitalia wananichelewesha kwenda kuanza Fainali yangu ya 'Kibaiolojia' na Demu wangu Kitandani. Ole wao wafungwe kwa Penati sitowapenda na Kuwashangilia tena.Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Waitalia wananichelewesha kwenda kuanza Fainali yangu ya 'Kibaiolojia' na Demu wangu Kitandani. Ole wao wafungwe kwa Penati sitowapenda na Kuwashangilia tena.
Wimbi la tano nalo lina-warm up 🙂Na wanasema na wimbi la nne liko njiani
Lengo lao ni wao waje washike maeneo huku hii ya tatu inauwa kama kideri kinavyouwa kuku, watu hatuna tahadhari serikali wanaongea juujuu tuu, watu hawana tahadhari nimepanda haisi moja jioni hii watu wanahemeana hadi mdomoni hakuna barakoa akiwa nayo mmoja kwenye gari itauwa wangapi! Sheria zinahitajika kudhibiti hili jangaIna maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂,huku ni kuchezeana akili sasa
Ni kama Ulaya tu... maambukizi ni mengi ila watu hawalazwi tena maSA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.
Kazi iendelee
Wimbi la tatu hata Uingereza lipo. Variant ya delta limepanda Sana. Tunategemea mwezi huu baada ya kuachana na barakoa wamekadiria maambukizi laki Kwa siku Ila Kwa sababu ya chanjo madhara ya kulazwa hospitali ni madogo.Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂,huku ni kuchezeana akili sasa
Viongozi wanatuua na covid 19 ruhusu tasisi zinazo ukiweza aagizie chanjo wakinasie mnatufutia utaratibu ila matajiri kufa ni lana kwa taifaKipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Niwaambie watu Europe wameamka hawataki huu ujinga wameandamana sana kupinga chanjo, lockdowns, na barakoa kwa sababu washajua ishu nzima ya covid ni biashara ya chanjo na mauaji ya kimbari kutumia hiyo chanjo. Huamini ngoja ije ila uwe mstari wa mbele. Msiklize huyu mshindi wa zawadi ya Nobel ambae ni virologisy mkubwa akizungumzia kuhusu chanjo.Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'
Covid19 Africa wimbi la tatu jiulize kwanini kuna mawimbiAsante mkuu, nawaona wanashangilia mpaka wanarusha mate.
Meko alituchelewesha sanaKipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhari za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
7
Watu wameajaa, no Barakoa.
Mama wahisha 'Chanjo'