Ulaya ni Shabiki wa Man Utd, Bongo ni Simba

Ulaya ni Shabiki wa Man Utd, Bongo ni Simba

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Jamani hebu tupeni msaada sisi wa Mashabiki tunaoshabikia Man Utd na Simba kwa pamoja, hali zetu sio nzuri kila kukicha afadhali ya jana, tupeni ushauri ila sio wa kuhama.
 
Karibu Arsenal na Yanga kila siku sikukuu. Tunatoa card za uanachama bure
 
Jamani hebu tupeni msaada sisi wa Mashabiki tunaoshabikia Man Utd na Simba kwa pamoja, hali zetu sio nzuri kila kukicha afadhali ya jana, tupeni ushauri ila sio wa kuhama.

Tuko pamoja mkuu.

Ukipata majibu mazuri ya faraja, usinisahau. NishirikishE tufurahi kwa pamoja.
 
mimi ni man u na simba, naamini ipo siku tutarudi kuendeleza ushindi wetu.
 
Mimi liverpool na yanga,sifatilii ligi ya uingereza cku hz
 
Mie arsenal wazee wa top four uk na top 16 uefa for the last 16 years.
 
Sawa mkuu: Kama mdau wa Old Trafford

Vipi, Van Gal atimuliwe au abakizwe?

Je, Jose Mourinho anafaa kuwa mbadala wake au...?

Van Gaal inabidi atuachie timu yetu, tumemkosa Ancelloti hivyo basu Mourinho sio mbaya akaja kwetu, kumpata Pep G ni ngumu.
 
Van Gaal inabidi atuachie timu yetu, tumemkosa Ancelloti hivyo basu Mourinho sio mbaya akaja kwetu, kumpata Pep G ni ngumu.

Uko sahihi, nakubaliana nawe.

Japo hii tabia ya fukuzafukuza makocha siipendi, ila hali ya ManU haiko sawa,aondoke tu, hakuna namna.

Unataka kunambia kwa "ratings" zako Ancelloti ni bora kulilo Mourinho?

Kwa mtazamo wangu, mimi Mourinho naweza kum-rate versus Guardiola.
 
mimi ni man u na simba, naamini ipo siku tutarudi kuendeleza ushindi wetu.

Hapo kwa Man United inawezekana ila kwa Simba sahau kabisa, kwa mfumo ule wa uongoz wa akina Kaburu na Hans poppe!??? Hamtakuja kufurahi mpaka hao watu watoke pale Simba. Karibu Jangwani Mkuu ufurahie Maisha ya soka
 
Uko sahihi, nakubaliana nawe.

Japo hii tabia ya fukuzafukuza makocha siipendi, ila hali ya ManU haiko sawa,aondoke tu, hakuna namna.

Unataka kunambia kwa "ratings" zako Ancelloti ni bora kulilo Mourinho?

Kwa mtazamo wangu, mimi Mourinho naweza kum-rate versus Guardiola.

Tofauti ya Ancelotti na Mourinhi ni kweye ushambuliaji. Timu za Mourinho huwa zina defence sana na kushambulia kwa counter.
 
Back
Top Bottom