Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
....mimi Arsenal na Simba!
Jamani hebu tupeni msaada sisi wa Mashabiki tunaoshabikia Man Utd na Simba kwa pamoja, hali zetu sio nzuri kila kukicha afadhali ya jana, tupeni ushauri ila sio wa kuhama.
.Tuko pamoja mkuu.
Ukipata majibu mazuri ya faraja, usinisahau. NishirikishE tufurahi kwa pamoja.
.
Usihofu mkuu
Sawa mkuu: Kama mdau wa Old Trafford
Vipi, Van Gal atimuliwe au abakizwe?
Je, Jose Mourinho anafaa kuwa mbadala wake au...?
Van Gaal inabidi atuachie timu yetu, tumemkosa Ancelloti hivyo basu Mourinho sio mbaya akaja kwetu, kumpata Pep G ni ngumu.
Mm Man u na Yanga
Karibu Arsenal na Yanga kila siku sikukuu. Tunatoa card za uanachama bure
mimi ni man u na simba, naamini ipo siku tutarudi kuendeleza ushindi wetu.
Mimi liverpool na yanga,sifatilii ligi ya uingereza cku hz
Uko sahihi, nakubaliana nawe.
Japo hii tabia ya fukuzafukuza makocha siipendi, ila hali ya ManU haiko sawa,aondoke tu, hakuna namna.
Unataka kunambia kwa "ratings" zako Ancelloti ni bora kulilo Mourinho?
Kwa mtazamo wangu, mimi Mourinho naweza kum-rate versus Guardiola.