Ulaya yaanza kupigwa na wimbi la pili la Covid19

Ulaya yaanza kupigwa na wimbi la pili la Covid19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Nchi za Ulaya zinaonekana kupigwa na wimbi la pili la #CoronaVirus kutokana na kurekodi maambukizi mapya makubwa ndani ya muda mfupi

Wataalamu bado wanashuku kutangaza kuwa hilo ni wimbi la pili la #CoronaVirus. Mtaalamu wa Virusi, Margarita del Val anasema inawezekana kuwa ikawa ni wimbi la pili, lakini litakuwa dogo ukilinganisha na la kwanza

Uturuki imetangaza kuwa na hali mbaya. Ufaransa imerekodi maambukizi mapya 7,000 ndani ya siku moja, na Spain ilirekodi maambukizi 9,000

===

A new wave of the deadly coronavirus is on Europe’s doorstep, it seems. For a second day, France clocked up 7,000 new infections, and neighboring Spain recorded almost 9,000. Meanwhile, Turkish authorities have admitted that things are getting pretty bad again
 
Alaf chanjo zinakuja kufanyiwa majaribio Africa,🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔wazungu wanaupendo kweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Alaf chanjo zinakuja kufanyiwa majaribio Africa,[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]wazungu wanaupendo kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sio Africa ni Kenya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watu wanachukulia mzaha lakini pana ukweli flan watu wanapyenga kimtindo
Hakuna cha COVID ni mafua ya kawaida ambayo wasingeyapa hype wala tusingeshtuka. kwa mikusanyiko tunayofanya na hatujafa wala hata kujaza mochwari kama walivyosema we unadhani nini.

Mungu kafanya yake tunadunda tu.

If you ignore nature, and nature will ignore you.
Tunapitia mengi kuliko COVID-19
 
Hakuna cha COVID ni mafua ya kawaida ambayo wasingeyapa hype wala tusingeshtuka. kwa mikusanyiko tunayofanya na hatujafa wala hata kujaza mochwari kama walivyosema we unadhani nini.
Mungu kafanya yake tunadunda tu.
If you ignore nature, and nature will ignore you.
Tunapitia mengi kuliko COVID-19
Swadakta
 
Back
Top Bottom