ulaya

ulaya

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
431.jpg
 
Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.
 
yep!! hata paka ni mmoja wa wanafamilia ...kwanza kuna rafiki yangu mmoja leo alikuwa hayupo kwenye mood coz jiran kaua oaka wake
 
Kuna cku nilisoma CV ya mzungu mmoja kaandika marital status single but one dog, ili akipangiwa kazi ijulikane kuwa ana mbwa wa kumlea, hivyo apewe masaa machache. Nilishangaa sana. Sijawahi ona mnyama kwenye cv ya mtu.
 
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?
 
yep!! hata paka ni mmoja wa wanafamilia ...kwanza kuna rafiki yangu mmoja leo alikuwa hayupo kwenye mood coz jiran kaua oaka wake
kuna mmoja aliomba likizo kwa kuwa paka amezaa,halafu hawezi kuacha watoto peke yao kwa muda mrefu na hawezi kwenda nao kazini kwa kuwa ni mbali kidogo na akapata.sio sisi Manyaunyau anakula paka kila wiki tunamchekea.
 
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?

Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! 🙂:welcome:
 
halaf cha kushangaza, panya anauzwa bei mbaya kuliko ugali nchi za hawa jamaa.
 
Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! 🙂:welcome:

ahahah hi kali !! hebu imagine umeoa mzungu halafu anafuga mapanya buku
 
:lol::lol::lol:
 
Waswed wao wanakatabia kakufuga nyoka kama Warangi,sasa pata picha.
sasa mjoka ukikasirika si ni balaa? kama wewe shost imagine umelala unaota upo kwenye malavidavi na mda huohuo nyoka kakupitia mdomoni ni utamla kwa bahati mbaya? :banplease:
 
halafu itakuwa:rip:
 
ahahah hi kali !! hebu imagine umeoa mzungu halafu anafuga mapanya buku

Tena hiyo mipanya huwa inabadili hali ya hewa ya nyumba nzima.Jamaa yangu apartment yake ina kismengo flani cha kipanyapanya usawa huu, week haijapita bado toka akabidhiwe mifugo.
 
siipatii picha wamekuja wageni inavyojishaua
 
Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/welcome.gif" border="0" alt="" title="Welcome" smilieid="319" class="inlineimg" />

taratibu tafadhali.
 
Hata mzungu anipende vipi sioi wala siwi bf wake, nilishaona mzungu demu anapiga denda mbwa wake, sasa huo mdomo ndio alete kwangu!!

Nitabakia napenda mwanamke mwafrica basi. Mwafrika ni mwafrica tu hata wa huko marekani hatujaona wakipigana denda barabarani hovyo kama wazungu au kutembea muda wote wameshikana mikono. Okiona ni wachache sana hata hivyo hawafikiii upuuzi wa wazungu.
 
sasa mjoka ukikasirika si ni balaa? kama wewe shost imagine umelala unaota upo kwenye malavidavi na mda huohuo nyoka kakupitia mdomoni ni utamla kwa bahati mbaya? :banplease:

ha h ha ah aaaaaaaa a, hiyo red in kali
 
Ndo maana wapumbavu wanadhani bora uzaliwe ulaya kuliko uzaliwe binadamu bongo
 
Back
Top Bottom