Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?Kuna cku nilisoma CV ya mzungu mmoja kaandika marital status single but one dog, ili akipangiwa kazi ijulikane kuwa ana mbwa wa kumlea, hivyo apewe masaa machache. Nilishangaa sana. Sijawahi ona mnyama kwenye cv ya mtu.
kuna mmoja aliomba likizo kwa kuwa paka amezaa,halafu hawezi kuacha watoto peke yao kwa muda mrefu na hawezi kwenda nao kazini kwa kuwa ni mbali kidogo na akapata.sio sisi Manyaunyau anakula paka kila wiki tunamchekea.yep!! hata paka ni mmoja wa wanafamilia ...kwanza kuna rafiki yangu mmoja leo alikuwa hayupo kwenye mood coz jiran kaua oaka wake
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?
halaf cha kushangaza, panya anauzwa bei mbaya kuliko ugali nchi za hawa jamaa.Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! 🙂:welcome:
Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! 🙂:welcome:
:lol::lol::lol:Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! 🙂:welcome:
ahahah hi kali !! hebu imagine umeoa mzungu halafu anafuga mapanya buku
sasa mjoka ukikasirika si ni balaa? kama wewe shost imagine umelala unaota upo kwenye malavidavi na mda huohuo nyoka kakupitia mdomoni ni utamla kwa bahati mbaya? :banplease:Waswed wao wanakatabia kakufuga nyoka kama Warangi,sasa pata picha.
halafu itakuwa:rip:sasa mjoka ukikasirika si ni balaa? kama wewe shost imagine umelala unaota upo kwenye malavidavi na mda huohuo nyoka kakupitia mdomoni ni utamla kwa bahati mbaya? :banplease:
ahahah hi kali !! hebu imagine umeoa mzungu halafu anafuga mapanya buku
siipatii picha wamekuja wageni inavyojishauaTena hiyo mipanya huwa inabadili hali ya hewa ya nyumba nzima.Jamaa yangu apartment yake ina kismengo flani cha kipanyapanya usawa huu, week haijapita bado toka akabidhiwe mifugo.
Rafiki yangu mkenya yeye ili kumfurahisha mchumba wake mzungu anaefuga mapanya buku kibao eti akajifanya nae pia its his hobby and he like them panyaz kinoma. Sasa huyo bibie juzi kaenda safari miezi mitatu na jamaa yangu kaletewa hao panya kwenye apartment yake akae nao mpaka bibie akirudi. Jamaa yangu ana mpango wa kuwawekea sumu kwa jinsi wanavyomuudhi! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/welcome.gif" border="0" alt="" title="Welcome" smilieid="319" class="inlineimg" />
sasa mjoka ukikasirika si ni balaa? kama wewe shost imagine umelala unaota upo kwenye malavidavi na mda huohuo nyoka kakupitia mdomoni ni utamla kwa bahati mbaya? :banplease: