Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Wanajamvi salaam!
Kulikuwa na mkakati wa kuwagawia wasanii Viwanja Mkuranga Mkoani Pwani ambako kulikuwa kumeanzishwa kijiji cha wasanii uliokuwa ukiratibiwa na SHIWATA hivi huu mkakati uliishia wapi maana naona kimya tu?
Vipi walikuwa wameshahamia huko maendeleo yao? Vipi mkakati wa kuja kuwachukua hawa wengine waende huko ukoje?
Sipati picha akina Amber Ruth, Mobetto, Sepetu, Diamond, Kiba wakiwa kwenye kijiji kimoja huko mkuranga watuachie jiji letu tupumue kidogo.