1. Uliokuwa moto wa nyika Marekani; sasa unawaka ndani ya Canada!
2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani hata inahitaji lipii kuliona au kulitambua hilo?
3. Tangu lini jumuiya ya wanafunzi popote duniani waliwahi kuwa upande usio sahihi?
4. Tangu lini zile "bongo bora" kabisa katika kizazi chochote, hazijawa kwenye vyuo vikuu?
Migomo vyuo vikuu imeangusha serikali; Marekani siyo kisiwa, la sasa halimwachi salama!
5. Ni wanafunzi pekee ndiyo wanaoweza kuaminika (bila tashwishi) kuwa nia yao ya kuipigania haki na jamii, ni thabiti.
6. Kwamba: "students are always right!" ni slogan inayofahamika na kukubalika kote duniani.
7. Mwana siasa yupi anayeaminika wapi?
"Labda awe ni aina ya Mandela, Nyerere, Tutu, Gandhi, Mtikila, Maalim Seif, na wa namna hiyo?."
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
8. Kwamba ni CCM au upinzani Tanzania? Jiwe, Museveni, Ramaphosa, Putin, Trump, Reagan, Natenyahu, au wa namna hiyo?
Waungwana wakisema: "Trusted like a fox!"
9. Rejea kwenye bunge la Tanzania katika kipindi chochote; Lini CCM au upinzani waliwahi kutofautiana kuhusu maokoto (posho, mishahara, marupurupu) yao?
10. Maua yao wanafunzi kwenye harakati za ukombozi popote yako wazi na kwa hakika wapewe! Hawa ndiyo pekee walio tayari kufanya jambo bila kujali maslahi yao binafsi na ya moja kwa moja! .
11. Wanafunzi gani walipata nini, wapi moja kwa moja kwa kuongoza au kushiriki vilivyo harakati au maandamano? Je ni
(a) UDSM: kudai madaktari kuachiwa huru kutokea gerezani (Mwinyi, Isambe na madaktari muhimbili 1990s?
(b) UDSM: kudai mfumo wa vyama vingi 1990s?
(c) University of Nairobi (UNBO): kudai Katiba bora miaka ya 2000s?
(d) Sharpevile, Afrika kusini kwenye kupinga ubaguzi wa rangi?
(e) Vivyo hivyo Philippines Niamey, Tianamen Square: China nk?
(f) nk, hivyo hivyo, kote duniani. ambako kote mafanikio hupatikana.
12. Hapo #11, wanafunzi wamekuwa wakijiweka kwenye hatari za kufukuzwa, kupotezwa, kusimamishwa masomo, kukamatwa, kufungwa, na hata kuuwawa nk bila kukatishwa tamaa.
13. Ni aibu kubwa kwa mababu zetu akina Kinjekitile, Mkwawa, Isike, Nyerere, Sokoine, Mandela, Tutu, Castro, Gaddafi, Che Guevara nk; kuwa dhidi ya maovu Gaza nchi zetu hizi, zimewatekeleza wanyonge wenzetu kwa sababu yoyote Ile
14. Kwamba hata tumeshindwa kusema lolote dhidi kukandamizwa kwa haki za waandamanaji Marekani na bado hatujishangai?!
15. Kwa hakika hapo #13, ni aibu zaidi kwa CHADEMA chama tegemeo kwa ukombozi.
CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!
15. Hapo #15, kwamba hata Tundu Antipas Lissu naye yuko kimya? Kwa uhalali upi?
16. Ukweli mchungu: "yakitukuta hapa kama ya waandamanaji Marekani, tutakula tuliko peleka mboga!