Ule muda wa hesabu za vidole kwa stars umewadia

Ule muda wa hesabu za vidole kwa stars umewadia

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kama kawaida yetu tushanyonyolewa 2 huko na Algeria tukiwa nyumbani.

Sasa tutaanza hesabu za vidole Kama kawaida yetu fulani amfunge fulani na ss wakat huo tushinde mechi fulani ndio tutaenda afcon.

Huu ndio utaratibu wetu wa kila mwaka tukifika wakat Kama huu sio waandishi wa habar wachambuz hutumia vidole kuliko uhalisia wa timu yetu.

Mpira n sayansi Kama sayansi nyingne shinda mechi zako bila kumuangalia Nani kafanya nini?

Wachezaji hawana background ya mpira huko nyuma hawana basic skills za soka hata control n shida
 
Mbaka Sasa hakuna kuhesabu vidole, mbabe ni mmoja Kwaiyo tuliobaki bado tuna nafasi. Algeria wametuzidi katika soka na walichofanya Algeria ni kudhihirisha ubora wao.
Kama nchi inatakiwa ifanyike juhudi ya kuhakikisha wachezaji wetu wengi wanapata nafasi ya kucheza nje.
 
Kwanza ilitakiwa stars wagome, majamaa mareeeefu Kila mpira wajuu wao, cross za juu zao.
 
Hivi wewe jamaa ulitaka tanzania waifunge algeria? Aisee una mawazo finyu. PALE KAZI KUBWA ILIKUWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. Ila yanga kwa beki hawa tutarajie aibu kuu.
 
Hivi wewe jamaa ulitaka tanzania waifunge algeria? Aisee una mawazo finyu. PALE KAZI KUBWA ILIKUWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. Ila yanga kwa beki hawa tutarajie aibu kuu.

Ukitoa JOB, Mwamnyeto, Lusajo mwaikenda, hamna beki za kati nyengine kali kama izo bongo
 
Hili kundi kuna kundi ndani ya kundi. Kunakundi linalojumuisha Algeria, Niger, Tanzania na Uganda alafu kunakundi linalojumuisha Niger, Tanzania na Uganda. Tanzania, Niger na Uganda kimkakati zinatakiwa ziachane na point zitakaziihusu Algeria na wawekeze nguvu kwenye Hilo kundi la pili
 
Back
Top Bottom