Mbaka Sasa hakuna kuhesabu vidole, mbabe ni mmoja Kwaiyo tuliobaki bado tuna nafasi. Algeria wametuzidi katika soka na walichofanya Algeria ni kudhihirisha ubora wao.
Kama nchi inatakiwa ifanyike juhudi ya kuhakikisha wachezaji wetu wengi wanapata nafasi ya kucheza nje.
Hivi wewe jamaa ulitaka tanzania waifunge algeria? Aisee una mawazo finyu. PALE KAZI KUBWA ILIKUWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. Ila yanga kwa beki hawa tutarajie aibu kuu.
Hivi wewe jamaa ulitaka tanzania waifunge algeria? Aisee una mawazo finyu. PALE KAZI KUBWA ILIKUWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. Ila yanga kwa beki hawa tutarajie aibu kuu.
Hili kundi kuna kundi ndani ya kundi. Kunakundi linalojumuisha Algeria, Niger, Tanzania na Uganda alafu kunakundi linalojumuisha Niger, Tanzania na Uganda. Tanzania, Niger na Uganda kimkakati zinatakiwa ziachane na point zitakaziihusu Algeria na wawekeze nguvu kwenye Hilo kundi la pili