Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
 
CR7 ata asipofunga goli miezi sita uborawake hauwezi fananishwa na mchezaji yeyote kwasasa kwakua rekodi zake katika soka itachukua miaka mingi kuvunjwa na wachezaji waliopo. Ni kama alivyokua bondia Mike Tyson, watapita mabondia wengi ila alichofanya Tyson kwenye ngumi na namna alivyokua aki wakabili wapinzaniwake itachukua miaka mingi kupata mtu kama Tyson au Jordani kwenye Kikapu.
 
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.

Huyo unayemsifia messi amewahi kutoka nje ya barca ili naye tumpime ubora wake kwa usawa kama mwenzeke aliyeperform vizuri kwenye timu zote alizowahi kuzichezea?
 
Kinachotakiwa ni uwezo uwanjani ni dhahiri Messi anaweza cheza popote na club yoyote cause kwanza ligi anayocheza ndiyo yenye kiwango bora zaidi duniani aende wapi ? Messi anabebwa na uwezo binafsi
 
Siyo kila siku mchezaji atakuwa katika kiwango chake cha siku zote.

Kuna siku mpira unakataa miguu ya mchezaji.
Kama utakua na muda Angalia mechi ijayo Ya Barca jmapili umtazame Messi anafanya nini uwanjani halafu angalia game inayofuata Ya Juve week-end hii Cr7 atafanya nini uwanjani halafu tukutane hapa jumatatu !
 
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Cr7 atabaki kuwa bora siku zote hafanani na mchezaji yeyote jamaa anajua ni bora sio sawa na kile kipimbi
 
Kinachotakiwa ni uwezo uwanjani ni dhahiri Messi anaweza cheza popote na club yoyote cause kwanza ligi anayocheza ndiyo yenye kiwango bora zaidi duniani aende wapi ? Messi anabebwa na uwezo binafsi

Unaongelea kinadharia au kimatendo mkuu??

Ingekuwa ni vema zaidi pia akauonyeshe huo uwezo wake binafsi na kwingineko ili na sisi tusiyemuona huko kwingineko tofauti na alipo tukubali kuwa kweli ana uwezo binafsi kuliko kulazimishana huku mnapokutaka
 
Huyo unayemsifia messi amewahi kutoka nje ya barca ili naye tumpime ubora wake kwa usawa kama mwenzeke aliyeperform vizuri kwenye timu zote alizowahi kuzichezea?
sio lazima ucheze ligi tofauti ndio uonekane bora,siku zote mchezaji anaye dribble mpira ni Mzuri kuzidi anayefunga pasipo ku dribble.Magoli anayefunga messi ni mazuri kuzidi anayefunga wachezaji aina ya akina CR7
 
Back
Top Bottom