Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nadhani mnakumbuka mnamo mwaka juzi hivi enzi zile simu za watu zilijaa maujumbe ya ajabu ajabu kuanzia ya matusi hadi ya kitakatifu. Ule upepo sijui umeelekea wapi ama umerithiwa na jambo gani jipya. Sijui watu walikosa cha kufanya au ubunifu ulipaa chati wakati huo au gharama zilikuwa ndogo sana. Yani hata sikumbuki zilikuwaje. We unakumbuka yoyote?