Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake

Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake

ambapo walipotataka kukutana tendo aka "kujumuana" basi walilala kitanda kimoja na style ilikuwa kifo cha mende🤣hakukuwa na mbwembwe kama miaka hii mara mikato tofauti tofauti mara sjui papa kawekewa "sausegi" , kuchora saba n.k🤣lakini mahusiano/ndoa hazidumu kimsingi utaratibu ulikuwa mzuri sana na ukiangalia kweli wengi wamezeeshana

'Kuna kitu kinaitwa" human nature yani kwamba "the more you keep distant it is there your signifance Will be measured if either your valuable or troublesome and how much your needed by your partner or close people"

kadri unavo kuwa mbali na watu kuna Ile shauku kubwa ya kuku miss na kutaka kukuona kujua unaendeleaje" tofauti na Ile kuonana Kila siku ni inapelekea Kuchokana kuzoeana hivo anavotokea mpya kuna Ile "hali" ya kuvutiwa nae na kutaka kubungua korosho(tafsida kidogo) aka Kugusanisha hasi na chanya

Kwo kimsingi kama umechoka kumsikia mwenzio anaota anapiga debe stand au anakula nyama ndotoni basi "apply two beds theory" ukishindwa kabisa "apply two rooms theory" 🤣kwa afya ya akili
NB. Sihamasishi utengano

Naomba kuwasilisha WanajF 🏃‍♂️
 
mh unapendekeza vitanda viwe saizi gani kaka? vyumba vyetu ukiweka kitanda tu cha tano kw asita room imebaki na uchochoro wa kukatisha kupita pita labda na kajikabati cha milango miwili chumba kipo full bora tulale kitanda kimona cha nne kwa sita ukijigeuza umemgusa bebi unaomba mzigo hats mkinuniana kitanda kinakua hakimu
 
Back
Top Bottom