Ule uwanja wa makontena wa Qatar unaweza kufika nchini mapema kuliko tulivyodhani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao.

Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza.
Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
 
Nashukuru wazo limefanyiwa kazi, je Mwanza ni pahala sahihi kwa uwanja huo?aidha wapi palifaa kuufunga uwanja huu strategically?
 
Kwa nini wasiupeleke Ujerumani au USA?
 
Mambo ya kijinga haya tunahitaji kufanya mambo yetu wenyewe
 
Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao.
Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza...
Mbona kuna mahali nilisoma nikaona huo uwanja unahamishiwa Amerika ya Kusini! Sijui ni nchi ya Peru ile!!!!
 
JamiiForums hii ipelekwe jukwaa la utani au iwekewe alama kwamba ni tetesi, hadi itakapothibishwa na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…