Ulega kumfunika Magufuli W/Ujenzi?

Ulega kumfunika Magufuli W/Ujenzi?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda.

***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
 
1000017133.jpg
 
Alikuwa mifugo na uvuvi, akashindwa kumfunika.Haku transform mfugaji yeyote kwenda katika ufugaji wa kisiasa, hakusambaza hata kilo moja ya majani ya kisasa kwa ajili ya malisho ya mifugo. Hakubadili ranch yoyote ya taifa ikawa ya kisasa na ikazalisha faida. He is an extremely average person, bora hata Bashungwa. He survives in politics by grace of God, the Almighty
 
Kuvunja records za Magufuli sio jambo jepesi.
Ila kwa kuwa yupo Ofisini ajipange kufanya hivyo labda atafanikiwa.
 
Back
Top Bottom