M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwa utawala upi?Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda.
***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
Rais mavi!Next president
Wewe Una nini?Ila Ulega wanaompa uwaziri sijui huwa wanaona nini
Kuvunja records za Magufuli sio jambo jepesi.Alikuwa mifugo na uvuvi, akashindwa kumfunika.Haku transform mfugaji yeyote kwenda katika ufugaji wa kisiasa, hakusambaza hata kilo moja ya majani ya kisasa kwa ajili ya malisho ya mifugo. Hakubadili ranch yoyote ya taifa ikawa ya kisasa na ikazalisha faida. He is an extremely average person, bora hata Bashungwa. He survives in politics by grace of God, the Almighty
OkayKuvunja records za Magufuli sio jambo jepesi.
Ila kwa kuwa yupo Ofisini ajipange kufanya hivyo labda atafanikiwa.
Mizigo kama hiyo ndio ccm inaipenda.Ila Ulega wanaompa uwaziri sijui huwa wanaona nini