Ulev noma sana

moses Mwanja

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
534
Reaction score
463
Kuna jamaa wawili walikuwa bar wanakunywa pombe kwa muda mrefu walipoona imetosha wakaanza kurud, na mmoja akajinyea bila kujua wale inzi wa kijani wakawa wanamfata, maongezi yao. Yakawa hivi
Mlevi mnyaji. Hawa nyuki wazur sana wananirukiarukia tu hawaning'ati.
Mlevi2.
Watakuwa ni wale nyuki wa kisasa maana wao hufugwa majumbani wala hawana madhara.
Mlevi mnyaj.
Halafu rafiki Yangu unajua nilishawahi kuanguka toka toka ghorofa ya 9 mpaka chini.
Mlevi2
Dah pole sana story yako imenisikitisha sana vipi haukufa lakini?
Mlevi mnyaj.
Mh hata najua basi, nilikuwa mdogo sana sikujua nin kilitokea maana hata Mimi napenda sana nijue nini kilitokea.
Nilikuwa nyuma yao nimeona bora niwapite miwaache na maongezi yao maana nahisi wapo ulimwengu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa. Tulikuwa mini na rafiki yangu, tulidhani wewe ni jambazi unatufuata utukabe tukawa tunakuzuga tu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…