wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu.
nilijitenga naye kwa muda (kumpa space)
aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi ya pili,
Lakini akarudia usaliti wake,
Nilim face macho kwa utosi nikamwambia hana utofauti na nyoka.
Tangu 2014 hatujawahi kuzungumza,
Tuliwahi kukutana ila aliongeza mwendo macho mbele
nilichojifunza, usifunguke sana mafanikio yako mbele ya marafiki hasa wale uliowapiga gap