wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Msaliti unamsamehe ila hausahau mara ya kwanzaStronger together , forgive but don't forget
Nilikuwa na rafiki nikamribisha home,akawa kama ndugu yangu,matokeo yake nikiwa nimekunywa farujohn anajitapa kwa mademu wake kwamba nyumba yangu ni ya mjomba wetu!Mimi haniamini mjomba ila yeye ndio Maana anafunguo za nyumba Yeye Nilichukua funguo kimyakimya na kumrudisha kwao na kumwambia nitamtumia nauli ya kuja Tena maxima Toka 2010.Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu.
nilijitenga naye kwa muda (kumpa space)
aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi ya pili,
Lakini akarudia usaliti wake,
Nilim face macho kwa utosi nikamwambia hana utofauti na nyoka.
Tangu 2014 hatujawahi kuzungumza,
Tuliwahi kukutana ila aliongeza mwendo macho mbele
nilichojifunza, usifunguke sana mafanikio yako mbele ya marafiki hasa wale uliowapiga gap