Ulianzaje kujenga?

airwing

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
382
Reaction score
536
Habari za mda huu, Wana jamvi wenzangu

Kama uzi unavyojielezea, kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua kwa hatua za ujenzi na hivyo kukamilisha Ndoto zao.

Kwa wewe mwenye uelewa, au ulifanikisha katika hili tunaomba tips zako, na vile ulivyofanikisha kusimamisha mjengo mjini.

NB: Mimi bado sijafanikisha Ila naamini Kuna vitu vingi nitajifunza hapa, Karibuni.
 
Na zaidi.
Mafundi wengine utopolo. Wana rahisisha mambo wakati hata wao hizo nyumba hawana.

Mie fundi aliniingiza gharama wakati wa upauaji bila sababu ya maana ingawa paa limekaa fireeee!!!
 
Nyumba ya Kwanza unajifunza mengi. Zinazofuata hamna wa kukudanganya.
Ni sawa na kumiliki gari, gari la kwanza linapurusa sana ila yanayofuatia unakuwa unajua mengi sana.

Kwenye nyumba yangu wakati wa kujenga kilitokea alichosema mdau hapo, mimi nyumba mpaka usawa wa kupaua ilipofikia ikawa imenila sana pesa wakati kuna mambo kibao ambayo nikitazama sasa ninaona ningeyaokoa, nitatumia akili hizo kwenye nyumba inayofuatia baada ya kujifunza.
 
Sio mbaya ulidhubutu,mbaya ungekata tamaa
 
Sio lazima ukubaliane na ninachoandika. Nilifikiri unauliza ili upate chochote kaa na negativity yako. I deleted all my posts
Wapo wengi wa aina hii, ni wa kuwakacha wabaki na mawazo yao boss.
 
Sio lazima ukubaliane na ninachoandika. Nilifikiri unauliza ili upate chochote kaa na negativity yako. I deleted all my posts
Hapana umenitafsiri negatively.. Wala sijadharau ulichokipost ndg,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…