Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Nini kilikuchochea, kushawishi na kukutumbukiza kwenye kadhia hii nzito ya feheha, na yenye sura ya utumwa binafsi wa kisiri siri?
Utumwa ambao ni mzigo mzito unao dhoofisha na kunyong"onyeza uwezo wa vijana wengi kwenye ndoa hivi sasa physically, mentally psychologically?
Ulianza kabla ya kuonja mbususu au mshedede au baada ya kuonja?
Sema ukweli usaidiwe kwa ushauri na wangwana wa familia hii ya JF, uondokane na utumwa huo