Ulianzaje kujichua

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nini kilikuchochea, kushawishi na kukutumbukiza kwenye kadhia hii nzito ya feheha, na yenye sura ya utumwa binafsi wa kisiri siri?

Utumwa ambao ni mzigo mzito unao dhoofisha na kunyong"onyeza uwezo wa vijana wengi kwenye ndoa hivi sasa physically, mentally psychologically?

Ulianza kabla ya kuonja mbususu au mshedede au baada ya kuonja?

Sema ukweli usaidiwe kwa ushauri na wangwana wa familia hii ya JF, uondokane na utumwa huo
 
LAMA UNASEMA HUJAWAHI FANYA HICHO KITU UNAULIZIA ILI IWEZE?UNATAKA KUANZA NA WEWE AU?
View attachment 2969675
baadhi ya vijana, ni wengi kwakweli wanaonifikia mimi na washauri rika wengine maeneo mbalimbali mathalani, kwenye semina, makongamano na kwaajili ya ushauri, baada ya changamoto za ndani ya ndoa kukolea, na ustahumilivu na subra kukoma miongoni mwa wenza, utumwa huu haukosi kua miongoni mwa kashkashi au sababu za kuzorotesha ndoa hizo
 
Sikumbuki nilianzaje nyeto, ila ninacho kumbuka ni kwamba 2012 nilikua nimetoka shule na nyumbani kulikua hamna watu, nikachukua mafuta ya rasta ya dada wa kazi ili nijiburudishe, kumbe yale mafuta yanakuwaga na kemikali kali sanaa, dudu ilivimba kama gotii, yani mpaka leo sijarudia..
 
Kwamba wewe ndo mbunge? Basi bunge lina wabunge wapumbavu mnoo
hiyo ni sawa, naweza kua mbumbavu...

Ila ile muhimu zaidi ni vizuru ukaweka wazi hali yako kulingana na hoja, ili hatimae upate tiba mujarabu ya ushauri na hatimae utue mzigo huo mzito sana wa utumwa wa kujichua na kusagana kisiri siri kama kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…