Ulianzaje kujichua

Hizo taarifa za punyeto kuwa utumwa umezipata wapi, mbona mm nanyetoka muda mrefu sasa lkn sijawahi kusema Mm n mtumwa.?
una fanya mara ngapi kwa siku ili tujue ni utumwa au sio utumwa wa kisiri siri
 
ulinusurika vema sana,

I hope leo hii unainjoy lakini pia unashangaa vijana wanaolalamika juu ya perfomance za kiwango cha chini sana kwenye game...
 
Mwanaume ambaye hajawahi kupiga punyeto ni lazima awe na matatizo flan hv ya akili
bila shaka tatizo la kwanaza itakua ni kushangaa, eti mwanaume akifika mshindo wa kwanza ndani ya sekunde10 ndio imetoka hiyo, hawezi tena kurudia tendo, mshedede network haishiki tena ng"oo mpaka next week
 
Ulivukaje balehe yako? Malezi yalihusika vipi? Walezi walikusaidia vipi katika hili?
jando yangu ilikua ni ya vijana wengi maporini ukipona, na ukitoka huko maporini huna ruhusa ya kurudi tena kwenu hata kama una umri mdogo...
 
Ni hatua za ukuaji kama hujapitia basi unamapungufu ya kimaumbile upo kwenye hati hati ya kuleft grp.
Ila hutakiwi kuendekeza unatakiwa ufanye jitihada za kuachana nayo na kuacha kuangalia picha za ngono ili uwe kijana mwema kwa nafsi yako na kwa mke wako wa baadae
 
Malezi yanahusikaje hapo..?!kwa hiyo wanaojichua hawakua na malezi mazuri au unataka kutuambiaje..??
hawakuzingatia vema na walilemewa na kuzingatia zaidi ya ulimwengu, ukaidi na tamaa za kimwili na nanbo ya dunia ukawafikisha eneo hilo kwa kificho, wakasingizia ni balehe na ujana na bado wako wanateseka mpaka sasa, na wengine wanajutia sana ukaidi wao mpaka wa leo kwenye maisha mengine
 
Ila ile muhimu zaidi ni vizuru ukaweka wazi hali yako kulingana na hoja, ili hatimae upate tiba mujarabu ya ushauri na hatimae utue mzigo huo mzito sana wa utumwa wa kujichua na kusagana kisiri siri kama kijana
Kwahiyo unamsema yule anayesemwa, si ungeanza kumsaidia yeye kwanza?
 
Yes, ni hatua but sio lazima hata kidogo uingie huko


hii habari ni kama kujichubua tu,

alie juchubua ana muonea gere ambae hajajichubua na wala hajawahi kujichubua na yuko mzuri tu naturally...

na kwa hali aliyonayo alie jichubua, unaona kabisa kaathirika na wala hata hapendezi, lakini pia hawezi kuacha kujichubua amezoe, na anakomaa kabisa ati kujijubua hakuna madhara.

ndio sasa ilivyo kwa wanaojichua. Anateseka na fedheha za madhara ya kujuchua huko faragha lakini anang"ang"ana kwamba, ahh ati anapiga show vizuri tu, kujichua hakuna madhara. YAPO

kuna mtu hajawahi kabisa kujaribu kushiriki hiyo uchafu, ndio hawa amba tupo njema mbaya sana. Bahati mbaya akapita na mke wa wenyewe, mwanamke anasahau mumewe kabisa ambae ni mlegevu huku chini anaugulia madhara ya kujichua ujanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…