hakuna mambo ya kutishana kwenye ukweli...Sasa punyeto ya kujishika tu au kuvibretisha kisimi inalegeza nini bro??? Huku sasa ni kutishana tu bila sababu. ..
Okay mkono ni mgumu, kivibrator je 😋hakuna mambo ya kutishana kwenye ukweli...
mtu me mkono mgumu kama plays, akikitana na mtu ke mlaini na soft huko chini, hawezi skia kitu naturally kwenye tendo, mpaka tena aende kwa bafu ashike na mkono wake mgumu sana, ndio askie raha huku ke mwenye afya anabaki kua victim in one hand, lakini pia na huyo ke baada ya muda hata na mkono wake mwenyewe anafanya huku akiwa mlegevu kabusa huko chini
nasoma maoni, uzoefu, mitazomo na ushauri wa wangwana katika fraternity hii kubwa sana ya Jf, ambayo for sure ina maana kubwa zaidi kwa wengi, waliowahi pitia dhahama hii, wanaopitia hivi sasa na kwakweli, wanaijiandaa kupitia kadhia hiiatakua kasoma google
google ni sehemu nzuri ya kusoma aende quora kule ndo kuna reality watu wanatiririka sana kule
nadhani, ingekua kheri zaidi kusaidia wengine kimawazo kama unayo au kukaa kimya, kuliko kuatack hiyo ambayo si muhimu hapaNdiyo WaBunge wenu hao
Muda wote wanawaza ujinga
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaonaaa??? Kumbe unaisingizia tu nyeto masikini.....hiyo ni nini,
hebu tafadhali nifungue akili kidogo tafadhali na mim, samahani lakin..
nasingizia upande gani hali yakua vitu viko bayana na wadau wana kiri na kutete jambo hili, ila huruma imenipata pale amabapo kila vijana wanapofarakana achilia mbali kwenye ndoa, hata kwenye uchumba madhara ya kujichau hua ndio shambulio la kwanza kwenye ugomvi wao....Unaonaaa??? Kumbe unaisingizia tu nyeto masikini.....
Me anaefanya nyeto kwa "kimfuko na nzi" analegeaje?me anakua legelege, ke hawezekani tena kusegulika softly, bila lazima kusaidia na vidole vyake vigumu kufika hatua ya mwisho, ndio miongoni nwa madhara
Kwa gweedobaadhi ya vijana, ni wengi kwakweli wanaonifikia mimi na washauri rika wengine maeneo mbalimbali mathalani, kwenye semina, makongamano na kwaajili ya ushauri, baada ya changamoto za ndani ya ndoa kukolea, na ustahumilivu na subra kukoma miongoni mwa wenza, utumwa huu haukosi kua miongoni mwa kashkashi au sababu za kuzorotesha ndoa hizo
we kaa tu hapo na hata pale ikikupendezafor your info
hamna binadamu down to earth ambaye hajawi fanya hio kama kulegea zingelegea mno
nimekaa pale 😅😅😅😅😅😅
Hapo Sawa....ili tujue kwamba kumbe wabunge kujichua ndiko kunakopelekea bungeni wawe vileTuanze na wewe ulianzaje
njoo kwa senior dronedrakewe kaa tu hapo na hata pale ikikupendeza
but wapo ambao hawajawahi hata kuota ndoto ya hivyo tu, na wala hawajui hiyo habari hata kidogo, kutokana na malezi yao adilifu ya jando, kubalehe na urika kuungana moja kwa moja na uchumba kisha ndoa. Na ndio hao ndoa zao ni imara zaidi, zinavutia kujifunza, hazitetereshwi na madhara yoyote ya kusaikolojia yaliyosababishwa na hiyo tabia chafu kama ilivyo sasa
usijiangalie wew binafsi uanetumia sijuu ninihaina effect yeyote kutishana tu
binafsi sihitaji kujifunza,njoo najitolea kukufundisha
au nikupe rufaa kwa senior dronedrake
nadhani ni vizuri akatishika na madhara ya kujichua, na kuacha kabisa kama alikua mshurika wa hilo. Itamsaidia dhidi ya mahangaiko ya kutafuta tiba ya madhara atakayo yapata kutokana na jambo hilo...Japo sipend hii Tabia ninyi mnafanya baadhi ya forum kuwa seem hatarish akiijiunga mgeni anaanziahapahapa jf