Ulianzaje kukaa gheto?

Aisee kweli umepitia msoto.

Endelea kupambana mkuu na Mungu aendelee kuwa upande wako.
 
Mkuu .....ulimfilisi muhindi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah jamaa uko vzr, naamini Baba Mkwe alikusoma na alikuelewa vzr kisha akakukubali sana. Aliamini mwanawe kapata Mume bora.

Big up sana mkali.
 
Ndio maana hatuoni katuni zako wewe na swahiba wako Tom
 
wakuu, ni wapi naweza kupata sofa (la watu 2) na kabati la nguo dogo (milango 2) kwa bei nafuu hapa jijini dsm. Namaanisha furniture ziwe standard kabisaa. Mwenye uelewa wa bei zake naomba anipe mwanga.
 
wakuu, ni wapi naweza kupata sofa (la watu 2) na kabati la nguo dogo (milango 2) kwa bei nafuu hapa jijini dsm. Namaanisha furniture ziwe standard kabisaa. Mwenye uelewa wa bei zake naomba anipe mwanga.
Nenda Instagram ukachague uwezavyo, ukishindwa nenda Keko/ Tabata.
 
keko sehemu gani? DDC, Machungwa au Magulumbasi?....Tabata ipi? segerea, kimanga au bima?
Wewe ni uvivu au vipi? Nenda Instagram pages za furniture zimejaa ( sasinaferniture, Nazal ferniture, Ngoshaferniture nk uzuri wa IG wakishaona unasearch kitu I mean una kiperuzi kwa sana na wao wanakuletea sponsored posts kuhusu hicho kitu.

Then Keko furniture hupajui? Tabata shule/ near to Tusiime.
 
We binti wa masemele unanisaidia au unanisimanga hahaha....asante kwa kunipa mwongozo.
 
Zaki China?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…