Ulianzaje kukaa gheto?

Mzee nimekubali hussling zako...big up!
 
Sisi ambao hatujawahi kukaa gheto sijui tuna comment wapi?

Kwa upande wangu sijawahi kuishi gheto kabisa, nilipomaliza chuo nilirudi home nikakaa kwa miaka mi tatu then nikaoa ndio nikaondoka kwa wazazi, nikaanza kuishi na familia yangu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…