Big up kaka...ukianza mapema kukaa zako geto...inakua poa sana....kwa kipa usithubutu mkuu...utapata tabu sana ukijarbu [emoji16]Nilianza kukaa ghetto nilipoanza mwaka wa kwanza chuo. Na sitegemei kurudisha mpira kwa kipa unless nitingwe sana na sio kwamba nitarudi nitaomba support tu. Now mwaka wa pili kati ya minne na nategemea mwezi ujao nijaribu maisha ya kilimo niko na mwanangu wa UD pale tulikua KJ kimooja tumeona tujaribu.
Asante mkuu muda mwingine inabidi ujibane ili ujaribu mambo mengine naamini huku kuna kutoboa.Big up kaka...ukianza mapema kukaa zako geto...inakua poa sana....kwa kipa usithubutu mkuu...utapata tabu sana ukijarbu [emoji16]
Yani huo ndo ubaya wa kuishi na msela,[emoji850]kufanya maendeleo unachelewaDaaaah!! mwanzo mgumu kinomaaa nakumbuka toka form one nlikaaa bweni... nmemalza four nkafaul then nkaenda shul singida napo n bwen yan ugali maharage daily na kulal kweny madeka ofcoz niliyachukia san maisha ya kukaa bwen ilifk point nilitaman hata nkae day lakin n mkoa w watuu ntakaa kwanan ikabd nkomae lkn nlichukia maisha ya bweni na still now nayachukia huw najskia vibay nnavyoona madeka sehem. bas nkafankiw kumlza six ile nmerud hom paap kwamujib washeria hii hap ndio nlichok kabsa nkaend mzee n doso lakufa mtuuu nilzd kuchukia tuu maisha na niliapa nkifk chuo hat km kun hostel ctakaa hostel mm acha nkatesek gheto bas nakumbk tokeo lilitk tukaruhusiw tukafany application then nkafany nkarud ili nichukue gamba langu at the end course ikaish nkarud hom nkaa kidg then nkawa nmeend chuo xx ile nmefk nmeambiw hom nkalipe ada ya hostl il nmefk chuo nafany registration siku yakwanz nkakutn na jamaa nlisom nae o-level bas nkamshawsh tukaend tafta room mtaan akatoa kod ya miez mi3 na mm m3 tukaend sokon tuknunua godoro, nakumbuk jiko la mchina na baadh ya vyomb na mashuka kam dhal maish yakaanza sahyo hom wanajua nakaa hostel yaan dah sitasahau nlichukulia maish ya gheto n normal but ikfk kipnd sna hela wal nn aseee sitasahau nilishnda siku 3 kwakunywa kandoro na skonz bas nkapat hel kam kawaid boom nkamwambia rafk ang tununue mazag ya ndan akazngua akasem hatujaj kutalii mjin hp tuish kigum nliumia san coz nilijua anahela af tukichanga tungenunua ht kitanda nilishkwa na hasr nkaenda hel nkanunua mwenyew kitanda 150, 5×6 nkanunua mtung mdgo wa ges nkachukua nafen bas nkalet ghetooo jamaa akafurah knoma noma life likasongaa jpo nlishkw na hasra jamaa amekataa kuchangia af anapkia ges yang ila ndiohvy aliku mwana wang tukaendelea kuish kibsh maish hvyo hvy sku mnadaiw hela ya umem tunaend kweny ghet la masel tunakaa ht cku mbl tukipt hel tunarud daah hvyohvy sem jamaa alikua hatk kuskia kuchangia kunua vtu vya ghet ye hel ake n nguo na bata kam loteee bas nkajkz nkaendelea nunua vtu vdg vdg wakt namalza semistr nkanunua redia 250 spk sita sony nkaipak ghet jamaaa ananiangalia tu anasem nkimlza tu chuo ntaviuz kwa bei y hasarbas nkarud hom lkzo.....
Halafu wazazi wengine walivyo wambuzi unakuta unapigwa chumba cha ndani na hapo hormone mtoto wa kiume zishaanza fanya kazi mbona utajuta tu [emoji1] [emoji1]Hahaa home ni shida mkuu..
utakula utalala lakini cha moto kipo
Utakuwa msukuma wewe kama sio muhindiBado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
Its like I was watching a movie, dah! Hongera sana kijana...Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Ulikosea sana kurudi nyumbani.
Mimi bado nipo chuoni Mwaka wa mwisho ila ninaishi getto, nitanunua mpaka dinner set ili nikimaliza chuo nisirudi home.
Hapo mwendo wa nyetoooo balaaaaaaaaaaaHalafu wazazi wengine walivyo wambuzi unakuta unapigwa chumba cha ndani na hapo hormone mtoto wa kiume zishaanza fanya kazi mbona utajuta tu [emoji1] [emoji1]
Hatarii mkuuHapo mwendo wa nyetoooo balaaaaaaaaaaa
Ndio shida ya kukaa na mtu getoDaaaah!! mwanzo mgumu kinomaaa nakumbuka toka form one nlikaaa bweni... nmemalza four nkafaul then nkaenda shul singida napo n bwen yan ugali maharage daily na kulal kweny madeka ofcoz niliyachukia san maisha ya kukaa bwen ilifk point nilitaman hata nkae day lakin n mkoa w watuu ntakaa kwanan ikabd nkomae lkn nlichukia maisha ya bweni na still now nayachukia huw najskia vibay nnavyoona madeka sehem. bas nkafankiw kumlza six ile nmerud hom paap kwamujib washeria hii hap ndio nlichok kabsa nkaend mzee n doso lakufa mtuuu nilzd kuchukia tuu maisha na niliapa nkifk chuo hat km kun hostel ctakaa hostel mm acha nkatesek gheto bas nakumbk tokeo lilitk tukaruhusiw tukafany application then nkafany nkarud ili nichukue gamba langu at the end course ikaish nkarud hom nkaa kidg then nkawa nmeend chuo xx ile nmefk nmeambiw hom nkalipe ada ya hostl il nmefk chuo nafany registration siku yakwanz nkakutn na jamaa nlisom nae o-level bas nkamshawsh tukaend tafta room mtaan akatoa kod ya miez mi3 na mm m3 tukaend sokon tuknunua godoro, nakumbuk jiko la mchina na baadh ya vyomb na mashuka kam dhal maish yakaanza sahyo hom wanajua nakaa hostel yaan dah sitasahau nlichukulia maish ya gheto n normal but ikfk kipnd sna hela wal nn aseee sitasahau nilishnda siku 3 kwakunywa kandoro na skonz bas nkapat hel kam kawaid boom nkamwambia rafk ang tununue mazag ya ndan akazngua akasem hatujaj kutalii mjin hp tuish kigum nliumia san coz nilijua anahela af tukichanga tungenunua ht kitanda nilishkwa na hasr nkaenda hel nkanunua mwenyew kitanda 150, 5×6 nkanunua mtung mdgo wa ges nkachukua nafen bas nkalet ghetooo jamaa akafurah knoma noma life likasongaa jpo nlishkw na hasra jamaa amekataa kuchangia af anapkia ges yang ila ndiohvy aliku mwana wang tukaendelea kuish kibsh maish hvyo hvy sku mnadaiw hela ya umem tunaend kweny ghet la masel tunakaa ht cku mbl tukipt hel tunarud daah hvyohvy sem jamaa alikua hatk kuskia kuchangia kunua vtu vya ghet ye hel ake n nguo na bata kam loteee bas nkajkz nkaendelea nunua vtu vdg vdg wakt namalza semistr nkanunua redia 250 spk sita sony nkaipak ghet jamaaa ananiangalia tu anasem nkimlza tu chuo ntaviuz kwa bei y hasarbas nkarud hom lkzo.....
Kwaio ushapata kazi saizi sioDaaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea
kweliii mkuuu hapo kama hormones zikizidi aseeeee ni mwemdo wa nyetoo tuuuHalafu wazazi wengine walivyo wambuzi unakuta unapigwa chumba cha ndani na hapo hormone mtoto wa kiume zishaanza fanya kazi mbona utajuta tu [emoji1] [emoji1]