Ulianzaje kukaa gheto?


mwanangu mi sikati tamaa nitapambana kufa kupona n kumuomba san Sir God ... big up Man
 

hapa nimejifunza kitu ukitaka kufanikiwa mishe zako hamishia mbali usipigie kitaa ulichozaliwa
 

Weka picha
 
Big time mkuu!!! Naamini ume inspire wengi kweny hili,,big up sana sana...anko wako huyo nayeye atakua anakufurahia saizi [emoji3][emoji3]
 
Rafiki leo weekend, nataka kuja kutazama marudio ya tamthilia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ni pacha angu, ko ni kutazama marudio ya tamthilia tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba wewe na huyo jamaa ni Otimbi na Timbilio....

Kweli marudio yatatizamwa[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka hapa mie, mbavu cna woiiiiih
Title inasema 'ulianzaje kukaa gheto' sasa mtu anataka eti wacoment wanaume tu wakat alienzisha hajazungumzia hicho kitu nikabaki nashangaa hahaa kwamba wadada hatutakiwi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…