[emoji1787] nakuonaa
Hapo miguu ya kuku na utumbo, wee ndo penyewee, tena kule buza mia 2, yaan nilifaidi mnoo, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Maajabu nkajua kama kawaida [emoji28]
Hapo miguu ya kuku na utumbo, wee ndo penyewee, tena kule buza mia 2, yaan nilifaidi mnoo, [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ulipika mwenyewe au??Mia2 dah
Ulipika mwenyewe au??
Eti hata waototo hawakubali kusepa [emoji23][emoji119][emoji119]Kipindi Niko chuo siku za weekend nachomoka mara home kwa mzee, mara kwa bi.mkubwa, mara Kwa washkaji… sasa nikienda weekends kwa wana nakuwa inspired kinoma! Mpaka sometimes likizo Naweza kutumia hadi week mbili kwa washkaji staki tena kwenda maskani, baada ya wanangu kumaliza mmoja akaenda Ulaya mmoja akapata kitengo Mkoa fulani kwa sababu kwao walikuwa na watu upande wa ujombani. Kipindi wana wana-separate mimi Niko home kwa Bi.mkubwa life ikaanza kuwa michosho hamna michongo wala nini na kama unavojua nyumbani dharau na kejeli+ nyodo Hasa kutoka kwa madogo huwa haziishi. Sasa pale home bi.mkubwa alikuwa kaolewa tu inamana sio kwetu kwa “100%” mzee mzima nikawa Uncomfortable siku moja nilivurugwa vibaya mno mapema alfajiri nikasepa kuelekea Magomeni kwa jamaa zangu wengine ambapo ni nyumbani kwao na mwanangu mwingine wa Karibu sana ambaye yuko Mamtoni kitambo tangu tuko O-level ila bahati nzuri ukaribu na urafiki wetu wa kushibana ulikaribisha undugu mpaka nikaweza kukaa kwao bila pingamizi. Kama zali baada ya kukaa pale siku kadhaa rizk ikawa inapatikana na mfukoni sikaukiwi ingawa ugenini ni ugenini tu Sio wote walipenda uwepo wangu pale. Msimamizi wa ile nyumba ambaye alkuwa ni shangazi yake na mwanangu alinipenda sana na kuniamini kutokana na nidhamu na uaminifu kiasi kwamba mpaka kunishirikisha maswala kadhaa ya familia… kimbembe kikaja kuna shangazi yake mwingine wa huyo mwanangu ambaye nilienda kuishi kwao kutokana na ups and down za familia alikuwa anaishi mtoni na yeye sasa akaja bongo kula goodtime na kufatilia michongo yao mingine huku bongo ya ujenzi na biashara zao akanikuta naishi pale na kabla alipata taarifa. Dahh! Yule shangazi hakupenda kabisa uwepo wangu pale na akaagiza niondoke. Kwa sababu mwenye pesa ana kauli yule shangazi wa kwanza msimamizi wa mjengo hakuwa na namna akaniita na kuniweka wazi. Nikiwa kwenye tathmini nikapokea simu kutoka majuu hakuwa mwingine bali ni Mama mzazi wa rafiki yangu na akanitaka nibaki hapo kwa sababu mwana tayari nilimchana kila linaloendelea maishani kwangu kipindi hicho. Siku zilizidi kusogea ingawa maisha yalikuwa mazuri ya amani pale na utulivu lakini maneno ya chini chini yalikuwepo. Shangazi msimamizi wa nyumba anazidi kuwa pressurized kutoka kwa Dada’ake kwamba kijana aondoke hapo sasa ukawa mvutano kati ya mawifi dhidi yangu. Nikaona isiwe kesi nikiwa katika maandalizi ya kusepa mwanangu akanivutia waya akaniambia siku si nyingi nakuja bongo usiondoke kwanza. Mwana akaja na life ikawa inaendelea Kumbe mwanangu alikuja na Neema. Alijua wazi mwanae sina kitu na Niko kwenye situation ngumu ingawa rizq ya pesa za vocha na kubadili mashati inapatikana. Akanipatiaga kitita kirefu cha pesa nakumbuka ilkuwa baada ya mwezi mtukufu na baada ya sikukuu ya eid mnamo mwaka fulani. Nikafanye mafekechee ya kutafuta chimbo maeneo fulani maeneo ya Mikocheni “A” uswahilini ambapo Nlkuwa na mwanangu mwingine anaishi kule lakini alikuwa anafanya kazi dukani. Ikabidi aniunganishe na wana wengine ambao ni ndugu zake tukawa tunakaa ghetto moja. Nikarudi Magomeni na kuaga baada ya kuweka mambo sawa na nikaanza maisha rasmi kama mpangaji. Life ikasonga na siku zikasogea wale wana niliokuwa naishi nao wakapata kazi sehemu tofauti hivyo wakalazimika kuhama… mmoja akaenda Visiwani mmoja hapahapa Dar maeneo ya kawe karibia na Mbezi kamanda nikabaki peke yangu tena ingawa sikupapenda maeneo yale kutokana na mazingira machafu na palikuwa uswahilini nikasubiri kodi iishe… baada ya muda nikapata mchongo ukaniongezea pesa kidogo ikabidi nihame sasa nikahamia Mikocheni “B” ambapo ghetto hata unaweza kumleta demu akagoma kuondoka [emoji1][emoji39][emoji1786] na baada ya wiki chache nikapata kibarua ofisi fulani maeneo ya Mbezi beach. Safari ya maisha ikaanzia hapo ingawa si haba Hohehahe anasongesha siku
Utafika Mkuu endelea kukazaNlipost hiii mwaka 2020 na badae December mwaka huo huo nikawa nasepa maskan kwenda kuanza maisha kitaaa bila kuwa na mishe yoyote. Kiukweli nilipiga kazi yoyote iliokuja mbele yangu na hiii ikansaidia kukutana na washikaj mbalimbali ambao ikasaidia kupeana michongo. Hadi Sasa npo get naona hatua zinaenda ila kwa mwendo wa Kobe.
Hapo uliposema uaminifu na heshima ni vitu vya msingi sana kwenye maisha. Kitu kingine kujituma pia ni sababu ambayo inakupatia uhakika na uaminifu mahali unapoishi.Kipindi Niko chuo siku za weekend nachomoka mara home kwa mzee, mara kwa bi.mkubwa, mara Kwa washkaji… sasa nikienda weekends kwa wana nakuwa inspired kinoma! Mpaka sometimes likizo Naweza kutumia hadi week mbili kwa washkaji staki tena kwenda maskani, baada ya wanangu kumaliza mmoja akaenda Ulaya mmoja akapata kitengo Mkoa fulani kwa sababu kwao walikuwa na watu upande wa ujombani. Kipindi wana wana-separate mimi Niko home kwa Bi.mkubwa life ikaanza kuwa michosho hamna michongo wala nini na kama unavojua nyumbani dharau na kejeli+ nyodo Hasa kutoka kwa madogo huwa haziishi. Sasa pale home bi.mkubwa alikuwa kaolewa tu inamana sio kwetu kwa “100%” mzee mzima nikawa Uncomfortable siku moja nilivurugwa vibaya mno mapema alfajiri nikasepa kuelekea Magomeni kwa jamaa zangu wengine ambapo ni nyumbani kwao na mwanangu mwingine wa Karibu sana ambaye yuko Mamtoni kitambo tangu tuko O-level ila bahati nzuri ukaribu na urafiki wetu wa kushibana ulikaribisha undugu mpaka nikaweza kukaa kwao bila pingamizi. Kama zali baada ya kukaa pale siku kadhaa rizk ikawa inapatikana na mfukoni sikaukiwi ingawa ugenini ni ugenini tu Sio wote walipenda uwepo wangu pale. Msimamizi wa ile nyumba ambaye alkuwa ni shangazi yake na mwanangu alinipenda sana na kuniamini kutokana na nidhamu na uaminifu kiasi kwamba mpaka kunishirikisha maswala kadhaa ya familia… kimbembe kikaja kuna shangazi yake mwingine wa huyo mwanangu ambaye nilienda kuishi kwao kutokana na ups and down za familia alikuwa anaishi mtoni na yeye sasa akaja bongo kula goodtime na kufatilia michongo yao mingine huku bongo ya ujenzi na biashara zao akanikuta naishi pale na kabla alipata taarifa. Dahh! Yule shangazi hakupenda kabisa uwepo wangu pale na akaagiza niondoke. Kwa sababu mwenye pesa ana kauli yule shangazi wa kwanza msimamizi wa mjengo hakuwa na namna akaniita na kuniweka wazi. Nikiwa kwenye tathmini nikapokea simu kutoka majuu hakuwa mwingine bali ni Mama mzazi wa rafiki yangu na akanitaka nibaki hapo kwa sababu mwana tayari nilimchana kila linaloendelea maishani kwangu kipindi hicho. Siku zilizidi kusogea ingawa maisha yalikuwa mazuri ya amani pale na utulivu lakini maneno ya chini chini yalikuwepo. Shangazi msimamizi wa nyumba anazidi kuwa pressurized kutoka kwa Dada’ake kwamba kijana aondoke hapo sasa ukawa mvutano kati ya mawifi dhidi yangu. Nikaona isiwe kesi nikiwa katika maandalizi ya kusepa mwanangu akanivutia waya akaniambia siku si nyingi nakuja bongo usiondoke kwanza. Mwana akaja na life ikawa inaendelea Kumbe mwanangu alikuja na Neema. Alijua wazi mwanae sina kitu na Niko kwenye situation ngumu ingawa rizq ya pesa za vocha na kubadili mashati inapatikana. Akanipatiaga kitita kirefu cha pesa nakumbuka ilkuwa baada ya mwezi mtukufu na baada ya sikukuu ya eid mnamo mwaka fulani. Nikafanye mafekechee ya kutafuta chimbo maeneo fulani maeneo ya Mikocheni “A” uswahilini ambapo Nlkuwa na mwanangu mwingine anaishi kule lakini alikuwa anafanya kazi dukani. Ikabidi aniunganishe na wana wengine ambao ni ndugu zake tukawa tunakaa ghetto moja. Nikarudi Magomeni na kuaga baada ya kuweka mambo sawa na nikaanza maisha rasmi kama mpangaji. Life ikasonga na siku zikasogea wale wana niliokuwa naishi nao wakapata kazi sehemu tofauti hivyo wakalazimika kuhama… mmoja akaenda Visiwani mmoja hapahapa Dar maeneo ya kawe karibia na Mbezi kamanda nikabaki peke yangu tena ingawa sikupapenda maeneo yale kutokana na mazingira machafu na palikuwa uswahilini nikasubiri kodi iishe… baada ya muda nikapata mchongo ukaniongezea pesa kidogo ikabidi nihame sasa nikahamia Mikocheni “B” ambapo ghetto hata unaweza kumleta demu akagoma kuondoka [emoji1][emoji39][emoji1786] na baada ya wiki chache nikapata kibarua ofisi fulani maeneo ya Mbezi beach. Safari ya maisha ikaanzia hapo ingawa si haba Hohehahe anasongesha siku
Basi ni inshu ya karibia mkoa mzima.. nimezoea kuona hivyo huku, na sijawahi hisi kama wako wrong 😂Kinawekwaga juu ya board sio chini,hapo fundi alipuyanga [emoji23]
Mie ninayo kubwa tu ya 200K, kama vipi niilete kwako tuishi wote!!kwa budget ya laki moja, naweza kupata sabufa gani standard kwa ajili ya geto?
Tukiongezea na chanjo je?Binafsi sina jibu la uhakika la kukupa ila kwa kujiamini kabisa nasema unapata......nadhani wadau wenye ujuzi zaidi kwenye hili watakujibu vyema
aah geto na enjoy kuwa alone..Mie ninayo kubwa tu ya 200K, kama vipi niilete kwako tuishi wote!!
[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti hata waototo hawakubali kusepa [emoji23][emoji119][emoji119]
Big up mzee
Hivi Kuna mtu ana 38yrs anaishi geto?? Aiseee! Umri huo kijana anatakwa awe na familia kwa maana mke na watoto. Sasa utaishije geto mzee mzima?Alafu kijana mwenye "nguvu umekamilika" nasema mapema jitambue umri kuanzia 18-29 unatakiwa ukae Getto, 30-37 ukae kuanzia master, sebule na jiko, 38 na kuendelea uwe unaishi Master, Chumba, Jiko na Sebule. au uishi ktk Nyumba nzima pekeako iwe umejenga au umepanga. Sasa unakuta mtu mzima 30+ upo umejibana na chumba kimoja kama mwanafunz. Haileti heshima na unaonekana huna akili. Hata wanawake wana wakimbia kwasabab akija kwako anaona huyu mtu mbona anaishi kama mwanafunz. Hata ndugu zako wanakukwepa wanajua huna akili.
Tafuta pesa ndugu, utumbo wa kuku hauliwi!
Hapo uliposema uaminifu na heshima ni vitu vya msingi sana kwenye maisha. Kitu kingine kujituma pia ni sababu ambayo inakupatia uhakika na uaminifu mahali unapoishi.
Kama kuna kijana anataka kutoka na kuanza maisha nje ya nyumbani kwao basi kule aendako awaheshimu atakaowakuta, awe muaminifu ili aaminike na watu aliowakuta, awe anajituma kufanya kazi.
Ukiwa unatafuta kazi usibague kazi sana ukiona huwezi usiipondee. Kuna msemo uko hivi ukiwa unatafuta kazi usiwaulize watu wanafanya kazi gani bali sema wapi ninaweza kupata kazi, ninahitaji kazi.
Ukijifanya kuchunguza kazi za watu utatengwa maana utaonekana snitch.
Tafuta pesa ndugu, utumbo wa kuku hauliwi!