Ulianzaje kukaa gheto?

Eh bwana nipo kwa dingi hapa kama vile yesu alivyo kuwepo kwa baba yake.

Sii ndio natafuta kagheto na mie nitulie maana kkwa ja nimeshindwa kujenga naanza kifikiria nikiuze tuu
Yaani wewe haunaga akili kumbe!
 
Hizo pesa unaenda lipa kodi huko si uwekeze kwenye ujenzi!!!

Au pepo lako chafu linakushawishi
Sasa ujenzi utaanza na million mbili kweli au unatania wewwe mrembo. Hiyo napamga ghetto natulia napiga mishe kuanza saka hela za ujenzi
 
Nilipoaanza kukaa gheto ndo nilijua kwa nini nilikuwaga nakula kichapo nikiokota hela ndani na kusema ni yangu

Gheto ni industry ya great thinkers wengi
It teaches than a school teacher
[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…