Ulianzaje kukaa gheto?

Lodge 20000 tu,wacha kuazima,

Unawakamuliaga wapi?
Lodge haina raha bwana...mie nataka tukodi hilo ghetto wikend nakununulia mazagazaga yote....so nakula chakula na namkula mpishi mwenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Kuna single za kuanzia 20k mpaka 70k kutegemeana na aina ya room. Chumba na sebule unapata kwa 50k na kuendelea.

Mbalizi huko single zipo hadi za 15k huku chumba na sebule unachukua hadi kwa 30k.
[emoji1545][emoji1545]
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huu uzi unanitia hasira nilipanga 2020 mwaka jana nkardsha mpra kwa kipa mpk leo sijatok tena home kuna kamsukumo flani kananizuia kutoka sjui kwann mniombee jaman ila kila kitu kuanzia kodi nnayo had jela ya godoro jipya ishu kutoka t ndo kipngele kwangu
 
Kipi kinakifanya usitoke?
 
🤣🤣🤣🤣Wee wacha mpira ukae kwa kipa kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…