Ulianzaje kukaa gheto?

Tisha sana mkuu [emoji119]
 
Umeupiga mwingi mkuu
 
Ahsante[emoji3059]

Mie bi mkubwa kaniambia ninunue Tv yangu niweke chumbani kwangu[emoji16][emoji16]

TV yake nimuachie[emoji16][emoji16]

Akufukuzae hakuambii toka eti eeeh[emoji16]
Ahhh ununue Tv tena,mwisho wa siku atakuambia ununue sofa lako uliekee ndani la kwake umuachie.
 
Pamoja sana mkuu,acha tu fight mambo yawe fresh.
 
Ahsante[emoji3059]

Mie bi mkubwa kaniambia ninunue Tv yangu niweke chumbani kwangu[emoji16][emoji16]

TV yake nimuachie[emoji16][emoji16]

Akufukuzae hakuambii toka eti eeeh[emoji16]
Nunua 🀣🀣 ndio uwe unaspend muda mwingi room kwako..
 
Hints , men tunaoishi ghetto / apartment , TUNAOSUBILI JIONI HII , UGENI WA WAREMBO WAZURI KWA AJIRI YA KUWA NYANDUA IJUMAA HII , NA WEEKEND HII YOTE GONGA LIKE HAPO CHINI TWENDE SAWA ,
Lakn pia tukumbuke kwamba "UKIMWI UPO NA UNAUA"
 
Wadau hii changamoto ya kufungiwa geti nyie hamkutani nayo!??..yan saa mbili tu tayari hawa mademu washalock geti,nimemind kichizi hawa mademu lakini hawaelewi,sasa hivi nimelala Kwa demu wangu ila pale gheto nimegonga sana geti,nimewapigia sana simu wanakaushia..hii nyumba mwezi wa 12 sitoboi lazima nihame
 
Kwa wazazi au umepanga?
 
Nimepanga,yaani saa mbili tu tayari..afu sio mara Moja,sometimes nawaambiaga geti msifunge nitachelewa kidogo kurudi..nikirudi nakuta wameshalock..naanza kutafuta kwa kulala
Kama vipi wakugawie funguo ya geti kama wanaona shida kukufungulia,

Hapo sio pahala pa kuishi,unaweza fukuzwa na vibaka kukimbilia nyumbani pamefungwa na usipate msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…