Ulianzaje kukaa gheto?

Umetishaaaaa
 
Aisee....

Nilienda kufanya kazi sehemu moja ya Kujitolea kiukweli hawakutupa maradhi.

So baada ya mimi kuona hela za Guest inaenda kuisha nikiwa nimebaki na Elfu 10 nikaamua leo silali Guest.

Nikamtafuta jamaa mmoja anajiita dalali nikamwambia anitafutie chumba kama malaika nikapata chumba siku hiyo hiyo .

Aisee hapo chini nimeweka picha za chumba nilichoanzia kukaa siku ya kwanza kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…