Ulianzaje kukaa gheto?

Wadau wa ghetto hamjambo? Mimi nilianza maisha ya ghetto mwezi wa 5 mwaka huu.Naishi maeneo ya uswahilini sana.Sasa jana wakati narudi kutoka kwenye mishe zangu nikakuta nimeibiwa hela.Ni shilingi elfu hamsini tu, kiukweli ni hela ndogo sana lakini ninavyoipata kwa shida inasababisha iniume kwa kweli.Kitu kibaya zaidi wakati naanza maisha ya ghetto bi mkubwa alinionya sana kuweka hela cash chumbani nilipopanga .
Kuweka hela ndogondogo kwenye simu naona ni usumbufu haswa pale inapokatwa wakati wa kutoa. Inaniuma sana yani nimeingia kanisani huku nina kinyongo.
Muwe na Jumapili njema.
 
Pole sana…

Me nikitoa laki 1, 40 kwenye wallet, 20 m pesa, 40 nyingine naitunzia ofisini kwenye droo.

Siweki hela nyumbani
 
Pole sana mi heka naweka geto ila mpka upajue jua umehangaika sana maana hata m mwenyew kuna tyme huwaga nasahau nimeweka waPi[emoji16][emoji16]
 

Mkuu pole sana sana kwani geto halina mlango? Au wamedurufu funguo wako wa geto?
 
[emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kwenye maisha ya upangaji niliwahi kukutana na changamoto kama ya kwako....walikuwa ni wapangaji wenzangu lakini wanajifanya kama ndio wamiliki wa nyumba geti walikuwa wanafunga saa nne usiku na kufungua ni mpaka watake wao,umeme walikuwa wakituchangisha lakini wao walikuwa hawanunui,,ilinibi nihame mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…