πππ usikilize ukiwa sober
Unajipakulia minofu ya kutoshaHizi taa ni za tv showcase sio ya chumba kizimaView attachment 2538320
Kuna zingine siko chini ya hiyo case
Nyingine nyuma nyingine ndani
Nashindwa kupiga picha zikatoka vizuri
Fundi lazima ujipakulie minyama[emoji28]
Hyo TCL inch 40 bei gan
Unajipakulia minofu ya kutosha
Sikiliza ukiwa huna pombeSjakuelewa π
Zikoje hizo taa? Ni kama zile led strips?Hizi taa ni za tv showcase sio ya chumba kizimaView attachment 2538320
Kuna zingine siko chini ya hiyo case
Nyingine nyuma nyingine ndani
Nashindwa kupiga picha zikatoka vizuri
Fundi lazima ujipakulie minyama[emoji28]
Zikoje hizo taa? Ni kama zile led strips?
Hizo taa zinanikumbusha mbali. Nzuri.Yah ile zenyewe zinawaka mwanga mmja tu
Blue,au nyekundu,au carrote
Na zenyewe zinahitaji adapter?Yah ile zenyewe zinawaka mwanga mmja tu
Blue,au nyekundu,au carrote
Na zenyewe zinahitaji adapter?
Napenda za blue.Kati ya zote napenda ile ya nyuma ya speker pemben ya kabati[emoji846]
Afu uwe una kinu cha maanaππ»ππ»ππ»ππ»Ni mzuri
Kiba anajitahidigi
N....hivi hi spika inaimba ? Mbona kama siisikiiππ nmekumbuka hi kauliπ π π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shauri zako. Mimi simo.N....hivi hi spika inaimba ? Mbona kama siisikii[emoji846][emoji846] nmekumbuka hi kauli[emoji28][emoji28][emoji28]
Ile speed ya kwenda kurekebisha ilikua kubwaπ π
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ile speed ya kwenda kurekebisha ilikua kubwa[emoji28][emoji28]
Sasa si una adapter nyingi ama?Yess zinawashwa kwa adapter ya 12v
Kwa wepesi niseme ile ya kuwashia kisimbuzi cha azam
Unaweza ku design nyuma ya tv au hata tv showcase
Stand za tv unaweza kui adjust ikaja mbele kidogo then hizi unaziweka nyuma zinakua zinapiga ukutani ivi
Hizo taa itabidi ukuje kuniwekea na mimi.Ile speed ya kwenda kurekebisha ilikua kubwa[emoji28][emoji28]
Haya
Labda nioneshe zilivyo pm nkushauriSasa si una adapter nyingi ama?
Ya kuwashia azam ikoje?
Me nna strips ya kitandani
Na ina adapter yake
Kichwa kikubwa.. nawaza kwenye meza ya tv zinakaaje