stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
[emoji23][emoji23][emoji23]me mpole wa mkoa kaka bado tu kushindanishwa kitaifaww muhuni sana chief
Unanifundisha na mm uhuni
😅😅[emoji23][emoji23][emoji23]me mpole wa mkoa kaka bado tu kushindanishwa kitaifa
Una miguu mitatu[emoji1745]
Unamiaka mingap bro ???Una miguu mitatu[emoji1745]
Nazingua mzeeUnamiaka mingap bro ???
Mkuu ushasema anakusaidia sana basi shikilia hapo
Kunasehemu nimesema na nasema hapa tena
Wanawake ni good financial
Wanajua kutunza na kutembea na budget
Me nowadays natumia hadi 7000 per day
Wakati ningekua na mwanamke nyumbn sidhani kama zingefika hizo
Ni vile hawa viumbe hua hatuwapati wale wanoenda na malengo yetu
Ila ukimpata mbona utakamilisha ndoto mapema tu
Nakumbuka [mention]Analyse [/mention] aliwa comment kitu juu huko kuhusu hili
Nyingi au ndogo?Naomba u break down matumizi ya 7k per siku inakuwaje... Naomba Elezea nijifunze kitu
Pes ulichukua shs ngapi?
Yaani uwe na she geto halafu utumie chini ua buku7.Mkuu ushasema anakusaidia sana basi shikilia hapo
Kunasehemu nimesema na nasema hapa tena
Wanawake ni good financial
Wanajua kutunza na kutembea na budget
Me nowadays natumia hadi 7000 per day
Wakati ningekua na mwanamke nyumbn sidhani kama zingefika hizo
Ni vile hawa viumbe hua hatuwapati wale wanoenda na malengo yetu
Ila ukimpata mbona utakamilisha ndoto mapema tu
Nakumbuka [mention]Analyse [/mention] aliwa comment kitu juu huko kuhusu hili
ChangamshaUzi umepoa
Uzi wa vyakula huoni nauchangamshaChangamsha
Changamsha na huuUzi wa vyakula huoni nauchangamsha
Pes ulichukua shs ngapi?
Sijajua imeanzia wapo ila katika matumizi ya siku nadhani hata vitu Kama gesi na mafuta au vitu ulivyoweka ndanj pigia kwenye hesabu kwasababu unanunua kwa Pesa ukipata mshahara mfano gesi unanunua 30K kila ukipata mshahara Happ sawa na unatumia 1000 kwsiki so kwenye ile 7000 ongeza 1000Nyingi au ndogo?
Asubuh situmii zaidi ya 1000 unless niwe nna kazi ngumu sana
Mchana 3000
Usiku hua 3000 nikiwa nna bundle
Ila nkiwa sina bundle na nataka hela basi nanunua viaz vya buku
Na na viungo vyakupikia vya buku
Gesi,mafuta vipo napika nakula(hi ni kama siku nlichelewa kula pia au sihis njaa ndio hua nafanya hivyo
Wakati mwingine hata 7000 haifiki