Ulianzaje kukaa gheto?

johnywolfgang, ]Asee huyo bro bandidu[emoji16]

Kwaiyo ukaona isiwe tabu kabisa

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Dogo tafuta shughuli inayokuingizia kipato utaona raha maisha ya getho. Miezi 3 baada ya kupata kibarua nikaamua kuishi magethoni, sijuti hadi leo japo familia ilikuwa inapinga hilo jambo. Niko free nafanya nnachotaka, nikitoka wala sipati simu ya bi mkubwa narudi sa ngap. Changamoto kwenye msosi, napenda kula ila mvivu sana kuingia jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…