Ulianzaje kukaa gheto?

Hebu tupe mkasa mzm mkuu[emoji2]

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
story ndefu kiasi,
maana nilianza kukaa geto baada ya kidato cha 4, kisha nikaenda Alevel, kumaliza geto na wandugu zangu wa kuzaliwa, maana tulikuwa yatima.

napata kazi yangu ya kwanza, nimewasili kituoni moshi huko, jamaa akaniambia chumba hicho na godoro la mkopo hilo utalipa kwa miezi mi3, hiyo likuwa mwaka 2003.
2004 nikarudi chuo tena, kumaliza tena geto.
nikapata wenzangu, nikaoa ndoa takatifu ndani nina godoro tu, week mbili za kwanza mpaka akaletewa kila kitu cha home, kutoka kwao.....

leo yote yamepita nina kila kitu katika maisha kijana anahitaji kuwa navyo.... naamini unajua! sina haja ya kuvitaja
 
Hongera sana mkuu, Mungu na azidi kubariki kazi za mikono yako/yenu

Huwa wanasema ukianza na mwenza mf. mume akiwa hana kitu ,siku akipata ni shida anabadilika hasa kwa mkewe na kusahau walikotoka pamoja, vipi hiyo unaonaje kwa upande wako,je bado uko na babe wako yule yule mlotoka naye mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…