Ulianzaje kukaa gheto?

Aisee pole sana mkuu lakini hope ulijifunza kitu...!!
Wapi mkuu, siujifunze bado nikaendelea na maisha yale yale ndugu yangu. Yani nimekuja jifunza in a hard way. Nilikuwa spender mzuri sana aisee. Sema now nimejifunza baada ya kuingia tena kwenye mporomoko kwa mara ya pili na kuibuka na utoto sasa umeisha tayari nina majukumu nina mtoto ananitegema so nimeanza kuwa responsible sana.
 
Very nice bro...! Nlitaka kukwambia tafuta mwanamke wa kuishi nae mwenye akili ya maisha kama ujana ushakula sana na hauishi lakini now lazima utafanya kitu cha maana plus mtoto hakika utapiga atua mkuu.
 
Very nice bro...! Nlitaka kukwambia tafuta mwanamke wa kuishi nae mwenye akili ya maisha kama ujana ushakula sana na hauishi lakini now lazima utafanya kitu cha maana plus mtoto hakika utapiga atua mkuu.
Kuoa sijaona ila si unajua mtoto matumizi, shule na nawaza muda unakwenda les so inabidi niset mipango na watu niliokuwa nao wengine wako a hundred miles ahead. Bahati mbaya katika mahusiano yangu sijawahi kupata mwanamke mwenye hiyo karama huenda nakosea kudate na watu. Niliowahi wapata wenye kiaji cha maendeleo walikwua wawili kipindi ndo anishi kunduch sikuwa wachukuliakwa uzito tukaishia achana na washaolewa...
 
Hongera sana mkuu...... vijana wa kiume 25+ age kama upo nyumbani fanya mchakato kama dharura vile utoke nyumban ukajitegemee.

Maisha ya getto matam sana vijana,
Ukitaka kujitegemea , kwanza tafuta kazi yoyote halali, piga kwa mwezi unaweza make sh ngapi then fanya yafuatayo.
Tafuta room unayoweza kulipa bila stress, lipia miez mitatu, nunua godoro,vyombo kidogo na chakula, na ubakiwe viela kidogo! Anza maisha kwa mapambano makuu, kama upo arusha nashauri kama kipato chako ni kdg, tafuta rum kwa morombo, mbauda, sanawari... ungaltd na kona ya esso usiende watakuua watu wabaya.

Mie nilianza kwa kitanda complete, vyombo , chakula na kodi 100K@ month nkalipa miez mitatu apo njiro single self moja hivi nzuri,
maisha yakaanza kwa uhuru wote.

Nimetafuna viumbe pale mpaka nkachoka....nikaamua kuacha hzo mambo kabsa, nikaham hapo,
Nimehamia sehemu nyngne hapa hapa arusha......huku nimeapa hakitaingia kitafunwa ndani kwangu tofauti na mchumba wangu, na MUNGU ananiimarsha kweli naendelea vema.
 
amina kaka.
 
Vizuri hope utapata mkuu.. Mwanaume hata ukiwa na pesa vipi kupata Maendeleo kiukweli ni changamoto wengi wetu mpaka kuwe na mtu wa kukuhamasisha kufanya mambo flani ya kimaisha.. Lakini bata tuu aaha hizo tunapiga za kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Me nilivyokuwa chuo bumu langi nilinunua laptop tu since mwaka wa kwanza mpaka wa tatu ndo kitu cha maana nlichofanya nkaja kupata demu flani mpare yani ishu ya kukutana gest alikuwa hapendi akanikomalia nipange Getto huo ndo ukawa mwanzo wa yote.. Nkapanga geto na kununua tv..friji na asset za muhimu kama jiko la gas..kitanda just kwa kutumia bumu ndani ya mwaka wa tatu semister ya pili na wa nne. So naamini kupiga hatua kubwa kimaisha kwa mwanaume inahitaji force flani kutoka nje na ukipata mwanamke sahihi hakika utafanikiwa zaidi lakini ukipata mwanamke anawaza bata kila ukipata pesa umekwisha mkuu..
 
Hahaha mimi mwenyewe chuo ela yangu iliishia kunua simu na laptop na kula bata dah.
 
Tulipanga chumba baada ya kupigwa exile na jamaa yangu usiku nikawa maeneo ya geto kama saa 7 usiku hapo tulishapanga na jamaa saa 8 nane anamtoa demu wake basi saa 7 ile sungu sungu wakanisomba aseeh nilizunguka nao mpaka saa kumi na moja wakanipelekwa kwa mwenyekit wa mtaa nilitoka pale saa moja asubuh . Siku ile ile nikatafuta dalali nikajisemea liwalo na liwe
 
Adsense
 
Hahahha pole sana mkuu
 
[emoji1787][emoji1787]Ulinyooka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…