Ulianzaje kukaa gheto?

Ulifanya makosa sana kurudisha mpira kwa kipa
 
[emoji119][emoji119][emoji16][emoji16]
 
hahaha we jamaa hiyo number 7 inaleta misunderstanding mara kila kibao na masela
 
hahaha we jamaa hiyo number 7 inaleta misunderstanding mara kila kibao na masela
Mimi wasela wangu wote hakuna wakuleta demu kwa msela yeyote yule. In short mimi ni mbaguzi sana kwenye suala la urafiki, marafiki zangu wote tunafanana akili na mawazo.

Kwanza nyumba nzima tunakaa wanachuo na wote tunaingia 2nd yr ila huwezi amini kila mmoja aliwahi kuja na demu mmoja tu na si zaidi ya hapo. Mwenye nyumba hata hatumjui kusema anazingua.
 
Ulipiga mishemishe gan?
 
Hiyi no 7 ni bora nionekane snitch.kitanda ninacholala ni mahala patakatifu. Na uzuri marafiki nilio nao wanalijua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…